Karibu Msamvu Kituo kikubwa cha Mabasi Morogoro

Karibu Msamvu Kituo kikubwa cha Mabasi Morogoro

Panya road hawapo kabisa kwasasa.. Tumewatanguliza sana mbele ya haki tulikuwa tunawakamata na kuwakata mishipa baadae tunawaita porisi na kuwapa.. Ila zamani palitisha sana kulikuwa na majambazi balaa lakn ilivyokuja team ya akiba 7 6 kwakushirikiana na sisi Wa kuja tuliwanyoosha

mkulu ntakuja na charty si anapajua huko heheee
 
Morogoro bado sana hats huwezi amino kama J.K.Nyerere alikuwa mbunge hapo! Barabara vinyu sana! Round about wanatangazia mji ndo utacheka! I stayed there for more than 3 yrs doing MSc.
Lazima utakuwa ulikuwa KILAZA tu wewe Msc ya chuo gani hapo yenye zaidi ya miaka miwili. Sio kila kitu husemwa!
 
Uchochezi gani?? Hivi unawajua walugulu jinsi walivyowavivu??
Ukienda katikati ya mji utakuta nyumba ya miti inamilikiwa na familia nzima yenye watu zaidi ya 30 wote wanaitegemea hyohyo.. Kujishughulisha hawataki . kabila la hovyo sana
kabla hatujaendelea na mada kwanza we kwenu wapi!? moshi au bukoba ili nikuchambe vizuri mana nimeka moshi miaka 2 na mwaka huu nimekaa bukoba na muleba hadi saivi sa nipe jibu tuendelee kuchambuana
 
Morogoro bado sana hats huwezi amino kama J.K.Nyerere alikuwa mbunge hapo! Barabara vinyu sana! Round about wanatangazia mji ndo utacheka! I stayed there for more than 3 yrs doing MSc.
jombii mi ndo mr. morogoro mji wa milima, kabla hatujaendelea na uzi we kwenu wapi na useme ukweli wako wa mungu usije ukasema kwenu mwanya wakati ni moshi bukoba au biharamulo
 
Mkuu Moro sasa hivi inakaliwa na wachagga ,wasukuma na wanyakyusa kwahyo inaendelea sana ..
Waluguru waliiharibu moro
Utakuwa mmoja wapo katika hayo makabila.

Ila uwongo umeweka mbele sana, katika hayo makabila ungetanguliza kabila moja hivi kutoka Mara "Wajita" ni wengi pia huo mkoa nadhani umefika siku za hivi karibuni moro, that's why!.
 
Mimi nilijua uko kule Matema beach, kumbe upo mji kasoro bahari! Napenda sana kupumzika Moro long weekends. Mwisho wa mwezi huu nakuja huko weekend! Nimechoka hussle za Dar.
We Vip nenda Arusha bana, ka hali ka hewa kametuliiiaaaa, mji upo poaaa, unakaa sehemu unpiga zako kahawa taratibuu, Siku 2,utainjoi sana
 
Kaka,ingekua hayo ya uvivu ni kweli basi Morogoro isingekua ghala la chakula, najua una asira kwanini imekua Morogoro isingekua kwenu. Hao wachaga unaowazungumzia Morogoro hawafiki ata 100,000/. Waluguru ni 70℅ ya watu wote wakaao Morogoro, pia ndio wenye Mkoa. Wewe umepita barabarani umewaona wachaga na wengine basi ukatoka povu. Kujisifu sio kuzuri.
Chakula kinazalishwa kirombero, Mahenge, ifakara, kilosa, kisaki mvuha n.k hebu nenda hayo maeneo kama utawakuta waluguru..

Warugulu utawakuta katkat ya mji kwenye nyumba za urithi...

Huko pembeni utawakuta wasukuma wamasai, wanyantuzu n.k
 
kabla hatujaendelea na mada kwanza we kwenu wapi!? moshi au bukoba ili nikuchambe vizuri mana nimeka moshi miaka 2 na mwaka huu nimekaa bukoba na muleba hadi saivi sa nipe jibu tuendelee kuchambuana
Mkuu mm kwetu green city nyanda za juu kusin... Twambombo
 
Utakuwa mmoja wapo katika hayo makabila.

Ila uwongo umeweka mbele sana, katika hayo makabila ungetanguliza kabila moja hivi kutoka Mara "Wajita" ni wengi pia huo mkoa nadhani umefika siku za hivi karibuni moro, that's why!.
Hahahaa! Usibishe usilolijua ..
Wajita hawapo kabisa ni kila watu 500 basi mjita mmoja..

Lakn hayo makabila niliyokutajia ukikutana na watu 500 wasukuma 150 wachaga 150 wanyakyusa 150
 
Unbelievable.... yaani Msamvu hii hii ambayo mara ya mwisho kuja Moro nilibugia vumbi ile mbaya!

Hongereni sana!
 
Back
Top Bottom