Ile hotel iliyopo Nanenane Karibu na Jordan University inaitwaje mkuu? Nasikia ina hadhi ya nyota kadhaa[emoji39] [emoji39]
~Cmb
Glonecy mbona ya kawaida sana! Nahisi labda Mkuu atakuwa anaongelea Kibo Peak Hotel.. ingawa haiko karibu kihivyo na JordanNafkiri ni gronecy
Kibo hata hivyo ni ya chini ya kiwango... Kiukweli Moro hakuna nyota tano labda kidogo zenye ubora ni flomi na nasheraGlonecy mbona ya kawaida sana! Nahisi labda Mkuu atakuwa anaongelea Kibo Peak Hotel.. ingawa haiko karibu kihivyo na Jordan
Karibu msamvu stand .stand bora kuliko zote Tanzania na Africa mashariki na kati .. Stand inayoizidi hata JKNIAView attachment 435145View attachment 435146View attachment 435147
Arc Hotel Hiyo ina Nyota 3 Hata chama Kubwa Yanga linatulia hapo likiwa MoroGlonecy mbona ya kawaida sana! Nahisi labda Mkuu atakuwa anaongelea Kibo Peak Hotel.. ingawa haiko karibu kihivyo na Jordan
Pazuri sana.
Hongereni
Wacha we!!Mkundi wapi mzee!!! Tutabanana hapahapa kwenye round about ya Africa mashirik round about kubwa kuliko zote E Africa
hapana aisee babati hapakua kama msamvu,hata wakiaribu vipi hilo jengo bado litakua kivutio kikubwa sana hapa msamvuHuenda ata stand ya Babati nayo ilikuwa ni nzuri kama hiyo!
Sijambo.Huja mbooo atoto
Ajakosea hapo pemben ya msamvu kuna kasehemu panaitwa itigi uwa yanapaki malori,ukitaka kupajua vizuri na shuguli zake katiza kuanzia saa mbili mbili usikuitigi ni singida mkuu au labda majna yanafanana
Makonda umeona hiyo???jitahidi nawe Kwa Mbezi luisi au dawasco Boko pawe zaidi ya hiviKaribu msamvu stand .stand bora kuliko zote Tanzania na Africa mashariki na kati .. Stand inayoizidi hata JKNIAView attachment 435145View attachment 435146View attachment 435147