kaboli
JF-Expert Member
- May 13, 2015
- 457
- 365
Muda wote yanapatikana kiongozi, kuna kampuni inaitwa 'Bush man'wana cruiser za kutosha, karibu.IV apo kuna magari ya kwenda mikumi (kwaajili ya mtalii) yanapatikana muda gan?
Muda wote yanapatikana kiongozi, kuna kampuni inaitwa 'Bush man'wana cruiser za kutosha, karibu.IV apo kuna magari ya kwenda mikumi (kwaajili ya mtalii) yanapatikana muda gan?
Moro pia kuna kaeneo kanaitwa itigi ni maarufu sana kwa deal za 'MIZIGO' [emoji2]itigi ni singida mkuu au labda majna yanafanana
Nimesema wapi kuwa wewe husemi kweli?Mkuu kama unadhani mm ni mwongo njoo na hoja ya kukanusha yenye evidence
mkuu umekisahau chuo cha eagle wingsPia kuna vyuo bora kbs km vile MUM kwetu apo, sua mzumbe na vingine kibao ama kweli kunapendeza cna
Itigi ni karibu na msamvu ila pana machangu kibao wanajiuza hapo.. Usiku hapafai wanabanduana mpaka chini ya magariDuuuuh , hapo ndo karibu na itigi
Moro pia kuna kaeneo kanaitwa itigi ni maarufu sana kwa deal za 'MIZIGO' [emoji2]
Haaaahaaaaa, hamkunielewa nilimaanisha mini mkuu, nilimaanisha pale mkabala mabinti wapouza papuchi[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] Geographia imekukaa kushoto aise
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Heeee pamenoga!Mwaka 2009 palikuwa vumbi tupu.
Watu wa majungu na kufuatiliana...full ushambaMkuu Moro sasa hivi inakaliwa na wachagga ,wasukuma na wanyakyusa kwahyo inaendelea sana ..
Waluguru waliiharibu moro
Nmekulewa Mzee Wa vitu vya hatar hawa walikuwa wanapandia itigi kwenye zile costa lakn hawakupandia stand ndani.. Stand kuu haiukuwa na vumbi sema tu ilikuwa na ofis za tiken mbaya[emoji15] [emoji15] [emoji15]
2009 Msavu kulikuwa na stendi bora kuliko ile stendi yenu ya mbezi/kimara na ubungo.. Sema ulikuja kwa kupanda zile kosta za mbezi-moro badala ya kupanda Aboud ubongo.. Kosta zina vumbi zile balaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Weeeee nilienda na Abood,tena ndio ilikuwa my first time kufika Moro aiseee nilikuwa dissapointed sana.[emoji15] [emoji15] [emoji15]
2009 Msavu kulikuwa na stendi bora kuliko ile stendi yenu ya mbezi/kimara na ubungo.. Sema ulikuja kwa kupanda zile kosta za mbezi-moro badala ya kupanda Aboud ubongo.. Kosta zina vumbi zile balaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu 2009 stand msamvu haikuwa na vumbi hata kidogoWeeeee nilienda na Abood,tena ndio ilikuwa my first time kufika Moro aiseee nilikuwa dissapointed sana.
Huwezi amini nilifika hata kushuka nashindwa,sikuamini kama ndio nimefika Moro jina kubwa stand ya vumbi!
Hadi babangu mdogo alipokuja kunigongea dirishani ndio nikashuka.
Sitokaa nisahau!
Nilikuja Moro nikitokea Moshi.Mkuu 2009 stand msamvu haikuwa na vumbi hata kidogo
Sina hakika kama ulipandia stand kuu msamvu
Mkuu 2009 stand msamvu haikuwa na vumbi hata kidogo
Sina hakika kama ulipandia stand kuu msamvu
Nifah walikushia kilosa hao [emoji23] [emoji23]Nilikuja Moro nikitokea Moshi.
Anyways...sio case,tuliache hili.
Ile hotel iliyopo Nanenane Karibu na Jordan University inaitwaje mkuu? Nasikia ina hadhi ya nyota kadhaa[emoji39] [emoji39]Sasa hivi kama Athens .. Karibu sana Mkuu .. Hapo ukishuka tu utakutana na gwami hotel kingsway, midland na flomi hotel .. Ukitaka mwenyeji mm nipo ntakuliwazaaa mpaka lukwiri... Ukitaka kutalii utaelekezwa mikumi, selou n.k ukitaka kubalizi beach hapo sasa ndio utapelekwa
Mindu dam hapo jiandae kukumbana na harufu ya tope na shombo ya samaki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]