duuh we jamaa acha huo uongo wako unaojifanya kuwadanganya wengi ni wakazi wa dsm na dar na moro ulimi na lips hakuna umbali wowote sa jifanye kuposti kana kwamba unaijua moro vizuri kuliko said amanzi wakati huna hata mwaka na nusu, huijui moro robo, wasukuma unaowaona wewe ni wale wakata mkaa wa makunganya, wachaga unaowaongelea ni machinga wa mazimbu na modeco na hao wanyakyusa unaowasemea ni vibarua wa katika ajira zisizo rasmi na tena ni wachache sana na kuna makabila mbalimbali pia yapo ila waluguru ndo wapo kwa kiwango kikubwa mno sa we baki kubishia huo uongo wako