Karibu Msamvu Kituo kikubwa cha Mabasi Morogoro

Karibu Msamvu Kituo kikubwa cha Mabasi Morogoro

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,272
Reaction score
13,430
Karibu msamvu stand .stand bora kuliko zote Tanzania na Africa mashariki na kati .. Stand inayoizidi hata JKNIA
1479304932475.jpg
1479304941964.jpg
1479304949394.jpg
 
Pia kuna vyuo bora kbs km vile MUM kwetu apo, sua mzumbe na vingine kibao ama kweli kunapendeza cna
 
Heeee pamenoga!Mwaka 2009 palikuwa vumbi tupu.
Sasa hivi kama Athens .. Karibu sana Mkuu .. Hapo ukishuka tu utakutana na gwami hotel kingsway, midland na flomi hotel .. Ukitaka mwenyeji mm nipo ntakuliwazaaa mpaka lukwiri... Ukitaka kutalii utaelekezwa mikumi, selou n.k ukitaka kubalizi beach hapo sasa ndio utapelekwa
Mindu dam hapo jiandae kukumbana na harufu ya tope na shombo ya samaki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
IV apo kuna magari ya kwenda mikumi (kwaajili ya mtalii) yanapatikana muda gan?
 
Back
Top Bottom