Karibu Msamvu Kituo kikubwa cha Mabasi Morogoro

Karibu Msamvu Kituo kikubwa cha Mabasi Morogoro

Pana vijana wezi hapo hatari! Halafu ukiwaona huwezi wazania kabisa! Watu wamekuwa wakilizwa miaka nenda hapo! Ukiwa msamvu kuwa makini sana wakati wote! Tena Mimi nataka Siku nimtege mmoja awe mfano!
 
Hata ukiwa ndani ya basi iwe Abood , etc kuwa makini hata na wale wauza biscuit s, na wengine siyo abiria wenzio ni wezi , wanakulia Mingo tangu unapofika stand, unapokata tiketi , unapoweka kamzigo kako, inavyokaa, unavyozingatia simu etc
 
Watu wa chato wanalizwa sana pale,tena ukute hiyo siku treni imeishia morogoro [emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Watu wa bara wakifika Msamvu bus Terminal hudhani wamewasili ktk jiji la Bandar ya Salama,Wengine ,Isingekuwa matangazo yatolewayo na makonda ktk mabasi ya mikoani hakika wengi wangekuwa wanaishia mji kasoro bahari [emoji23] [emoji23]View attachment 538458 View attachment 538459 View attachment 538461 View attachment 538461
Hilo la "stendi bora kabisa nchini Tanzania" ngoja nikuongezee, sio Tanzania tu ni STENDI BORA KABISA YA MABASI AFRICA MASHARIKI NA KATI.
 
Hata ukiwa ndani ya basi iwe Abood , etc kuwa makini hata na wale wauza biscuit s, na wengine siyo abiria wenzio ni wezi , wanakulia Mingo tangu unapofika stand, unapokata tiketi , unapoweka kamzigo kako, inavyokaa, unavyozingatia simu etc
Sijaenda moro muda kidogo ila nachojua kule ndan hakuna wauza biscut wala maji,mle ndani kuna biashara rasmi tu. Uwezi kukuta machinga ndani mule
 
Hilo la "stendi bora kabisa nchini Tanzania" ngoja nikuongezee, sio Tanzania tu ni STENDI BORA KABISA YA MABASI AFRICA MASHARIKI NA KATI.
Shukran kwa kuongezea, nimeandika kwa uzoefu wa Sehemu nilizotembelea tu
 
Hilo la "stendi bora kabisa nchini Tanzania" ngoja nikuongezee, sio Tanzania tu ni STENDI BORA KABISA YA MABASI AFRICA MASHARIKI NA KATI.
Hahahha[emoji16] [emoji16]

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Mh simbachawene aruhusu na ile miradi ya kule

Do a little thing with the great love ~ Mother Theresa
 
ww akilinjema, stand ya msamvu sio kama unayoijua ww, sasa hv wamefunga camera pale ivyo tukio lolote linalotokea liwe la uharifu ama jambo lolote lile la kustaajabisha ww unaenda pale control room kuna camera pale ambayo ina rekodi matukio yote pale unaona, iwe umeibiwa au vp unaangalia kwenye camera pale

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom