Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,451
- 5,988
Nilikuwa napita Morogoro Msamvu uelekeo njia ya Dodoma nimeona kituo cha CNG kinajengwa pale hio ni hatua kubwa sana Kikikamilika mtu anaweza kutoka Dar mpaka Iringa kwa Gesi ya 50k tu , nafurahi kuona vituo vya CNG vinaanzq kujengwa mikoani.