Aina za mahusiano Tanzania, inawahusu wote

pureman2

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
1,494
2,538
Wewe uko namba ngapi na tupe uzoefu wako

1: Mahusiano ya ndoa: haya yanakubalika na jamii na kutambuliwa na serikali. Ndo mahusiano ambayo wapenzi wana uhuru wa kujitambulisha popote na kuheshimiwa. Changamoto kubwa ya mahusiano haya ni kukabiliana na hali ya mazoea ambayo hufanya tendo la ndoa kukosa hamasa na kuwa kama ratiba TU ya kunyoosha misuli na sio msisimuko wa mnyanduano ,hali inayofanya uchepukaji kuwa wa kiwango cha juu sana.

2: Mahusiano ya boy and girl -friend: Japo sio mahusiano rasmi ila ukweli aina hii ya mahusiano ndo imetawala jamii hasa ya vijana kuanzia umri wa miaka 18-35. Aina hii ya mapenzi yanapingwa na familia , jamii na hata dini zote kutokana na kukosekana kwa legal and moral commitment. Changamoto kubwa ya mahusiano haya ni kujeruhi nafsi na mioyo ya wepenzi (heart break) kiasi kwamba mtendwa hujikuta anapoteana kabisaa. Kutokana na mahusiano haya ni rahisi kupoteza ndoto zako, kupata mtoto katika umri mdogo, kuambukizwa magonjwa, kuacha masomo au kazi. Hata hivyo kundi hili linafurahia zaidi hisia za mapenzi kuliko kundi lingine lolote kutokana na wahusika wengi kuwa kwenye umri mujarabu Kwa hisia za mapenzi.

3: Mahusiano bidhaa: Haya ndo mahusiano ya kununua malaya na kumtumia kuondoa hashiki za mapenzi. Ni aina ya mapenzi yanayopingwa na ngazi zote za jamii na hata serikali japo ndo mapenzi ambayo Yana wateja wengi kutoka katika kundi la kwanza na la pili. Mapenzi haya yameenea sana mijini kuliko vijijini na yamekuwepo katika jamii kwa karne nyingi . Wateja wakubwa ni watu watumiao vilevi na madawa ya kulevya na wale ambao Wana msongo wa mawazo na changamoto ya afya ya akili. Kifupi ni kuwa kabla ya kubobea kwenye mahusiano haya lazima ujikatae na kujizima data. Hayana utamu sana kwani wahusika huwa hawana utulivu na drive kubwa ni vileo na madawa.

3: Mahusiano shitukiza: Aina hii inajumuisha mahusiano ya kimasihara. Hapa unajikuta unapata penzi kama vile zali la mentali. Mazingira ndo yanakua kisababishi kikuu na mara nyingi hutokea nyakati usizotarajia kupata penzi. Ndo penzi lenye hisia tamu kuliko zote. Hata hivyo penzi hili huwa ni la mda tu halina malengo ya kudumu. Ukiliwa ndo imetoka iyooooo.

4: Mahusiano mtandao: Haya ndo mahusiano yanayoshika kasi Tz. Mtu anakua na wapenzi anaofahamiana nao mitandaoni tu. Mtu anaweza anzisha mahusiano hadi wakaachana na hawajawahi hata kuonana. Ila usishangae pamoja na kuwa ni mahusiano ya kufikilika mpenzi anakua anahudumiwa pesa za pango, kusuka, vikoba, birthday etc. Ndo aina ya mapenzi ambayo ni typical liability and wastage of time . Hata hivyo mahusiano haya ndo yanasaidia kuwatuliza wapenzi kihisia Kwa kufanya virtual sex na kujifunza jinsi ya kuwasiliana na mpenzi.

5: Mahusiano umiza: Haya ndo mahusiano yanayopendwa na wadada wengi wa mjini. Ukimuomba namba TU ujue dk 5 zitakazofuata wewe ndo umeshakua Mme wake au mzazi wake. Jiandae kuombwa pesa za kujikimu, Vocha, kula, kodi ya nyumba, kununua simu mpya au nguo na mapambo ya birthday. Ndo mapenzi ambayo ukiwa mtoaji wa pesa utaitwa majina yote mazuri ya mahaba. Ukitaka kujisikia vizuri yajaribu mahusiano aya ila make sure mfuko uko vizuri.

Unaweza ongezea aina zingine Ili tuutendee haki uzi huu.

Tupe uzoefu wako katiaka aina hizi ya mahusiano na jinsi ambavyo umefaidika nazo au vile umeumizwa nazo.
 
Wewe uko namba ngapi na tupe uzoefu wako

1: Mahusiano ya ndoa: haya yanakubalika na jamii na kutambuliwa na serikali. Ndo mahusiano ambayo wapenzi wana uhuru wa kujitambulisha popote na kuheshimiwa. Changamoto kubwa ya mahusiano haya ni kukabiliana na hali ya mazoea ambayo hufanya tendo la ndoa kukosa hamasa na kuwa kama ratiba TU ya kunyoosha misuli na sio msisimuko wa mnyanduano ,hali inayofanya uchepukaji kuwa wa kiwango cha juu sana.

2: Mahusiano ya boy and girl -friend: Japo sio mahusiano rasmi ila ukweli aina hii ya mahusiano ndo imetawala jamii hasa ya vijana kuanzia umri wa miaka 18-35. Aina hii ya mapenzi yanapingwa na familia , jamii na hata dini zote kutokana na kukosekana kwa legal and moral commitment. Changamoto kubwa ya mahusiano haya ni kujeruhi nafsi na mioyo ya wepenzi (heart break) kiasi kwamba mtendwa hujikuta anapoteana kabisaa. Kutokana na mahusiano haya ni rahisi kupoteza ndoto zako, kupata mtoto katika umri mdogo, kuambukizwa magonjwa, kuacha masomo au kazi. Hata hivyo kundi hili linafurahia zaidi hisia za mapenzi kuliko kundi lingine lolote kutokana na wahusika wengi kuwa kwenye umri mujarabu Kwa hisia za mapenzi.

3: Mahusiano bizaa: Haya ndo mahusiano ya kununua malaya na kumtumia kuondoa hashiki za mapenzi. Ni aina ya mapenzi yanayopingwa na ngazi zote za jamii na hata serikali japo ndo mapenzi ambayo Yana wateja wengi kutoka katika kundi la kwanza na la pili. Mapenzi haya yameenea sana mijini kuliko vijijini na yamekuwepo katika jamii kwa karne nyingi . Wateja wakubwa ni watu watumiao vilevi na madawa ya kulevya na wale ambao Wana msongo wa mawazo na changamoto ya afya ya akili. Kifupi ni kuwa kabla ya kubobea kwenye mahusiano haya lazima ujikatae na kujizima data. Hayana utamu sana kwani wahusika huwa hawana utulivu na drive kubwa ni vileo na madawa.

3: Mahusiano shitukiza: Aina hii inajumuisha mahusiano ya kimasihara. Hapa unajikuta unapata penzi kama vile zali la mentali. Mazingira ndo yanakua kisababishi kikuu na mara nyingi hutokea nyakati usizotarajia kupata penzi. Ndo penzi lenye hisia tamu kuliko zote. Hata hivyo penzi hili huwa ni la mda tu halina malengo ya kudumu. Ukiliwa ndo imetoka iyooooo.

4: Mahusiano mtandao: Haya ndo mahusiano yanayoshika kasi Tz. Mtu anakua na wapenzi anaofahamiana nao mitandaoni tu. Mtu anaweza anzisha mahusiano hadi wakaachana na hawajawahi hata kuonana. Ila usishangae pamoja na kuwa ni mahusiano ya kufikilika mpenzi anakua anahudumiwa pesa za pango, kusuka, vikoba, birthday etc. Ndo aina ya mapenzi ambayo ni typical liability and wastage of time . Hata hivyo mahusiano haya ndo yanasaidia kuwatuliza wapenzi kihisia Kwa kufanya virtual sex na kujifunza jinsi ya kuwasiliana na mpenzi.

5: Mahusiano umiza: Haya ndo mahusiano yanayopendwa na wadada wengi wa mjini. Ukimuomba namba TU ujue dk 5 zitakazofuata wewe ndo umeshakua Mme wake au mzazi wake. Jiandae kuombwa pesa za kujikimu, Vocha, kula, kodi ya nyumba, kununua simu mpya au nguo na mapambo ya birthday. Ndo mapenzi ambayo ukiwa mtoaji wa pesa utaitwa majina yote mazuri ya mahaba. Ukitaka kujisikia vizuri yajaribu mahusiano aya ila make sure mfuko uko vizuri.

Unaweza ongezea aina zingine Ili tuutendee haki uzi huu.

Tupe uzoefu wako katiaka aina hizi ya mahusiano na jinsi ambavyo umefaidika nazo au vile umeumizwa nazo.
Kataa ndoa kataa ndoa hizi hadaa tuzikatae Kwa nguvu zote namba 1 ni uchuro ni ufala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom