Kariakoo nao wanafanya utafiti wao

Kariakoo nao wanafanya utafiti wao

Status
Not open for further replies.
Hivi sasa nchi ya Tanzania ina maadui wakuu wa4. Umasikini, Ujinga, Maradhi na CCM.

Yeeeeeeeeeeeessssssssssssss. Na huyo kwenye red ni mbaya kuliko jumla yote ya maradhi yaliyowahi kuikumba Tanzania.
 
..sitashangaa NEC na POLISI wakipiga marufuku tafiti za namna hii.
 
nilipiga na mim kura😉



Hahaaaaaa... kkoo kweli si mchezoo..daah..

💏💏💏💏💏💏👏👏👏👏👏👏
 
Hahahahaaaa Magufuli kapata 2%?
Eid yangu imekuwa nzuri sana.
 
Haaahaaaa....

Huu ndio UTAFITI wa wananchi live.. na wanatoa matokeo hapo hapo...

Si mtu anafanya tafitix anakaa nazo kwake na mke wake.. ana CHAKACHUA WEEEEEEE, kisha analeta UTUMBO ktk vyombo vya habari...!!!

Kkoo wawajibu TWAWEZA...!!!



Mkuu hiyo statement hapo kwenye red ndio itafanya HEADLINES kwenye magazeti ya UHURU na Jambo Leo hapo kesho. Nimeipenda kweli. Kwa mara ya kwanza kwa miaka 25 iliyopita nitalinunua Uhuru.
 
Amani ipo kaka.. ukiona mtu anaihubiri sana amani ujue huyo ndio huleta hofu kwa watu na wanakosa amani. Watu wenyewe hawana hata shida ukiwaangalia. Ni mbwembwe tu kuelekea uchaguzi na yote hayo yataisha tu baada ya 25.

Wanachofanya hakina tofauti na TWAWEZA waache ni uhuru wao. Kama umeenda kununua mtumba negotiate bei ipungue, kuna maisha baada ya 25/10
 
Hii campaign team ya ukawa nimeinyoshea mkono !! Yaani ccm mnahangaika kuwaonga twaweza kuleta takwimu zenu fyongo wakati ukawa hawatumii hata sh moja na watu wamepiga kura kariakoo ,kuonyesha mlivyo waongo
 
Uhalisia Ni 25 Oct,hata Hizo Tafiti Mmeambiwa Sio Matokeo Halisi Sasa Nyie Twaweza Wameleta Tafiti Mkaona Kitu Cha Ajabu Yani Wakati Hata 2010 Zilikuwepo Na Ccm Bado Walishinda

Utafiti huwa na uhalisia pale unapokuwa umekidhi vigezo vya kitaalamu, kuanzia namna ya kupata sampuli, njia za kufanya utafiti, aina ya maswali, na njia za kufanya uchambuzi. Huu uliofanywa na TWAWEZA unaweza kuwa unakufurahisha lakini kwenye vigezo vya kitaalamu umepwaya.
 
Hahahahaaaa Magufuli kapata 2%?
Eid yangu imekuwa nzuri sana.

Hongera kwa idd yako sisi bado tunakomaa na tafiti za mtandaoni maan tumechoka.

"Wengi walikuwa wanajua Tanzania ni mbaya, lakini sasa wengi wanajua ccm ndio mbaya"
 
Nduguyangu tumia tu akili ndogo tu kuhusu utafiti wa Twaweza ,tume inasema wapiga kura ni m25 twaweza imehoji watu 1000+ achilia mbali vigezo vilivyotumika kuchagua hao watu . hivi watu1000 wanaweza toa taswira ya watu milion 25?

natangaza rasmi kuidharau moja kwa moja Twaweza na maofisa wake wote wa ndani na nje ya nchi .
 
hawa si ndo aliowaahidi wataendelea kuwa wamachinga for the rest of their lives.
Tafiti zimeonesha kuwa Lowassa ANGALAU anapendwa mijini. Tatizo UKAWA hii mnafikiri Tanzania yooote ni Dar, Mbeya mjini na Arusha mjini, Tanzania kubwa sana! Na wapigaji kura wengi hawapo katika miji hii, oooo ooooh!

Hizo sehemu ulizotaja tuu zinawapiga kura nusu ya wote. Jiongeze
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom