Watu wenye akilı na wanaojitambua,hawakai vijiweni kupayuka mambo ya siasa.Vijiwe vya watu wa Kariakoo na wengi madalali wa mazao toka mikoanı na misheni town pamoja na wadokozı ndo hao watakuwa wamehusika na hyo survey.Wengi wanaojitambua hauweza kuwakuta wanapayukapayuka na mambo hayawaingzıı kıpato.
Wasisahau kuleta mrejesho wa kura na waiteni waandishi wa habari hasa gazeti la Uhuru na habari leo ili TBC wasome kwenye magazeti asubuhi
Kwani Tatizo Ni Mafuriko Au Kura?
Lowasa atashinda kwa zaid ya 70%
Nakwambia hizo tafiti ni simple haziitaji hata graph. Mwaka huu ni zaidi ya miaka yote.
Kwani Tatizo Ni Mafuriko Au Kura?
Watu siku hizi hawadanganyiki kariakoo wameonyesha mfano
Hapa kuna box mbili. Unatumbukiza ama kwa JPM au ENL
View attachment 290687
Watu wenye akilı na wanaojitambua,hawakai vijiweni kupayuka mambo ya siasa.Vijiwe vya watu wa Kariakoo na wengi madalali wa mazao toka mikoanı na misheni town pamoja na wadokozı ndo hao watakuwa wamehusika na hyo survey.Wengi wanaojitambua hauweza kuwakuta wanapayukapayuka na mambo hayawaingzıı kıpato.
Watu wenye akilı na wanaojitambua,hawakai vijiweni kupayuka mambo ya siasa.Vijiwe vya watu wa Kariakoo na wengi madalali wa mazao toka mikoanı na misheni town pamoja na wadokozı ndo hao watakuwa wamehusika na hyo survey.Wengi wanaojitambua hauweza kuwakuta wanapayukapayuka na mambo hayawaingzıı kıpato.
Watu siku hizi hawadanganyiki kariakoo wameonyesha mfano
Hapa kuna box mbili. Unatumbukiza ama kwa JPM au ENL
View attachment 290687
kama ataenda kuugulia ikulu sasa huo muda wa kufanya hayo maendeleo ataupata?
kwani twaweza walifanya utafiti au uchaguzi?Vipi nani msimamizi wa Uchaguzi ?
Nani wakala wa pande zote mbili?
Je Waangalizi huru wapo?
Kanuni ya Uchaguzi iko je?
Mnatofauti gani na twaweza?
Tafiti za wananchi
matokeo mkuu
Tunasubiri NEC na Polisi watakataza hata hilo.