Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,535
- 20,730
Arusha stand napo kulikuwa na utafiti.
Mkuu...
Vijana, walikuwa wanashangiliaaaa wanasema tuone hiyo TAFITI yao nani ni bingwa, TWAWEZA ni wahuni wanasema hivyo... na ilikuwa hakuna mtu kupiga mara 2... alafu utadhani ni kura ya kweli... maana walikuwa kila mtu anasubiria matokeo, saa 9:30 ndio wametangaza.... watu walipa vifijooo.. furahaaa ilitawalaa huwezi amini...!!!
Kkoo, kiboko..!!