Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Lowasa atashinda kwa zaid ya 70%
hawa si ndo aliowaahidi wataendelea kuwa wamachinga for the rest of their lives.
Tafiti zimeonesha kuwa Lowassa ANGALAU anapendwa mijini. Tatizo UKAWA hii mnafikiri Tanzania yooote ni Dar, Mbeya mjini na Arusha mjini, Tanzania kubwa sana! Na wapigaji kura wengi hawapo katika miji hii, oooo ooooh!
Nawaona mnavyoufukuza upepo bila kuuona wala kuukamata Lowasa kuingia ikulu kwa kura za wanachi hilo msahahu kwasababu wananchi sasa hv wameamka washajua kwanza fisadi pili mgonjwa
Akaugue tu...cha msingi ccm ing'oke madarakani !!
Watu siku hizi hawadanganyiki kariakoo wameonyesha mfano
nani kakuambia kura hata pata angalia matokeo ya serikali za mitaa yalikuwaje ile ilkuwa kabla ya gia kubadlishwa angani, baada ya gia kbadilishiwa angani subiri kiama.
Lowasa atashinda kwa zaid ya 70%
Akaugue tu...cha msingi ccm ing'oke madarakani !!
Nduguyangu tumia tu akili ndogo tu kuhusu utafiti wa Twaweza ,tume inasema wapiga kura ni m25 twaweza imehoji watu 1000+ achilia mbali vigezo vilivyotumika kuchagua hao watu . hivi watu1000 wanaweza toa taswira ya watu milion 25?Angalia Kiama Kisije Kikawafika Nyie,twaweza Tayari Washatuwezesha Mtaisoma
Ahh mkuu wale walikuwa ni"wa kaskazini na ni Wachaga"yale mafuriko ya masasi tandahimba mtama etc ni mbeya na arusha?
akaugue tu...cha msingi ccm ing'oke madarakani !!
Nawaona mnavyoufukuza upepo bila kuuona wala kuukamata Lowasa kuingia ikulu kwa kura za wanachi hilo msahahu kwasababu wananchi sasa hv wameamka washajua kwanza fisadi pili mgonjwa