mzushi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 3,094
- 4,256
Bora tukose wote mwaka huukama ataenda kuugulia ikulu sasa huo muda wa kufanya hayo maendeleo ataupata?
Bora tukose wote mwaka huukama ataenda kuugulia ikulu sasa huo muda wa kufanya hayo maendeleo ataupata?
hawa si ndo aliowaahidi wataendelea kuwa wamachinga for the rest of their lives.
Tafiti zimeonesha kuwa Lowassa ANGALAU anapendwa mijini. Tatizo UKAWA hii mnafikiri Tanzania yooote ni Dar, Mbeya mjini na Arusha mjini, Tanzania kubwa sana! Na wapigaji kura wengi hawapo katika miji hii, oooo ooooh!
hujajua tu watu wengi sana wanapata bahati ya kuona chopa kwenye mafuriko ya lowasa
Hizo kura itakuwa zilipigwa kwa wachagga tu wanaokuja Kariakoo.
Hizo kura itakuwa zilipigwa kwa wachagga tu wanaokuja Kariakoo.
watoto wako kabila gani? Uliwapa kanga, kofia au pipi tu?????
kama ataenda kuugulia ikulu sasa huo muda wa kufanya hayo maendeleo ataupata?
yepi hayo? ya kakoo lowassa 98%, pombe 2%Vipi matokeo yamesemaje