Kariakoo nao wanafanya utafiti wao

Kariakoo nao wanafanya utafiti wao

Status
Not open for further replies.
utafiti wa kariakoo ulikua wa ukweli na uwazi walipita na masanduku ya kura.picha ziko ushahidi.kura zilihesabiwa mchana kweupe.walifanya utafiti eneo ambalo watu kutoka kote nchini wapo wakija kununua bidhaa zao.TWAWEZA UTAFITI WAO HAUNA SHUHUDA.
Jamani twaweza poleni sana kwa kushambuliwa kutoka kila kona ya nchi mjue kuwa saa hizi ccm haobebeki mbeleko imechakaa. poleni mungu awatie nguvu twaweza
 
Mabadiliko yetu ni kura tutakazopiga wenyewe na ndizo tutakazoamini. Ambazo hatujahusishwa tupa kuleee
 
Tazama lowasa alivyo zioga kura, hakuna hata kura moja iliyowekwa kwa kufuli..
@@Tunasema asante Mungu kwa kuwamsha watu waliokuwa wamelala huku wakiteseka na kufa kwa kukosa huduma za afya na maji

wengine hata elfu 10 ya kufungulia faili wanakopa je kile kijikaratasi cha dawa anapoambiwa dukani dose ni 66000/=?

Tumechoka kuendelea kubaki mateka wa fisiccm,,,,ni mwaka wa mabadiliko ,...na chombo chochote kisichezee mabadiliko haya!!!!

4.jpg

Lowassa ameshakuwa rais
 
Ndoto za kupenda vya bure vitatuua waTz. Nenda jimbon kwake ukaone mabadiliko. Watu hata vyoo hawana, maji madawa etc. Kwa nn hakuanza kwa kuonyesha mfano kwao? Leo ndugu zake wamadai wako wapi? Kawaelimisha vipi? Kuwaleta Dar ili wasuke wanawake nywele, kuuza dawa fake na kulinda mageti hayo ndo mabadiliko. Kama umeshindwa kuinali jamii yako ndogo kwa kuikwamua kia maendeleo utaweza nchi nzima ya watu mil 50? Kaa usubiri vya bure vitakutokea puani.
 
Acha ushabiki wa kisiasa tena wa kitoto tena kwa kuangalia idadi ya watu wanaohudhuria mikutano ya kampeni.Nijuavyo mimi hakuna mwenye uhakika wa kujihakikishia kulishika jiji lolote kwa maana kwa majiji kama Dsm watu wengi wako busy na kazi zao, hawahudhurii kampeni.Wanaohudhuria kampeni ni wachache sana.Watakaobadilisha matokeo ndio hao walio busy na shughuli zao.
 
akili za kuambiwa changanya na zako!!!ukishangiliwa na watu c kwamba unapendwa!tena mijini!!!wengine ni wasafili!!wengine wanafanya manunuzi wakahudhulia mikutano!!siku ya kula !!!!JEMBE JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI NDIYE RAIS
 
kwn kwa makomeo vipo na ndio maana ametoka ccm make kule kn matatizo mzee kowasa kaja huku ili apate nafas ya kukomboa wanyonge
 
Daaa..... huyo jamaa inabidi awekwe kati ya mashujaa wa taifa. Nikija dar mwezi ujao lazima nimtafute huyu bwana.
Nadhani wengingine wanaweza kuiga alichofanya kinawakilisha hisia za watz wote.
Mabadiriko ni sasa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom