Kariakoo nao wanafanya utafiti wao

Kariakoo nao wanafanya utafiti wao

Status
Not open for further replies.
Kipindi cha kuelekea Uchaguzi siyo ya kuifanyia mbwembwe kama hizo na hasa muda huu Kampeni eti kwa kupita mitaani na kupigisha kura kwa staili hiyo-kama huwazi mbali unaweza kuona ni mbwembwe na jambo la kawaida.

Na wakati huu vyombo vya ulinzi ndio vinatakiwa vitulie sana. Kwasasa hata watu wafanye yao ambayo yanaweza leta vurugu lakini asilimia kubwa huwezi kuona mabomu ya machozi. Nadhani unajua kwa nini.
 
Naona mwandishi wa utafiti anachukua mwongozo wa kwenda kutafanya uchakachuaji kwenye taarifa kabla ya kusomwa kwa Tafiti mbele ya watu.

Dunia ya sasa unaweza kumdanganya mtoto tu tena asiyejua kusoma.
 
Hii ni ishara tosha kwamba watu hawakubaliani na tafiti zilizopita. Vinginevyo wasinge fanya kejeli ya namna hii. Kwa hili TWAWEZA wamejivunjia heshima waliyokuwa wamejijengea tokea mwanzo.
 
Nawaona mnavyoufukuza upepo bila kuuona wala kuukamata Lowasa kuingia ikulu kwa kura za wanachi hilo msahahu kwasababu wananchi sasa hv wameamka washajua kwanza fisadi pili mgonjwa

Hivyo hivyo na ugonjwa wake tarehe 25 Oktoba tutampeleka LOWASSA ikulu kuhusu ufisadi kwanza kama unaushahidi mpleke mahakamani ,EPA,ESCROW,MEREMETA,UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI,KIVUKO KIBOVU,MADAWA YA KULEVYA je LOWASSA amehusika huko?nipe jibu wewe uvccm mwenye fikra mgando kama ubongo wa kuku.
 
Nawaona mnavyoufukuza upepo bila kuuona wala kuukamata Lowasa kuingia ikulu kwa kura za wanachi hilo msahahu kwasababu wananchi sasa hv wameamka washajua kwanza fisadi pili mgonjwa
Hujathibitisha lakini ufisadi wake. pili sio mgonjwa. Magufli ni mgonjwa zaidi. ni mmoja wa waliokunywa kikombe cha babu. Wewe mwenyewe mgonjwa taabani. Hutatuambia unahudumu vipi familia. Watanzania wote ni wagonjwa. Maisha yao tu yanawafanya wawe wagonjwa. La mwisho akichaguliwa mgonjwa hatashangaa kama Magufuli anavyoshangaa kuwa hospitali hakuna madawa. Huyu atakumbuka kutafuta dawa na kuziweka mahospitalini. Hawa wasio umwa hawatujali kutafuta dawa. Wanatuambia tununue wenyewe gloves na sindano na madishi ya kujifungulia. Bora tutampigia huyu mgonjwa kuliko anayejiofanya haumwi wakati anakimbilia ualaya kutibiwa.
 
Watu ni kweli wameamuwa kufanya mabadiliko ila hili zoezi lisiishie Dar peke yake na mikoa mingine nao wafanye zoezi kama hili ili kitakachopatikana kiunganishwe pamoja ili ijulikane nani ana ongoza kwa asilimia nyingi.
 
Hivyo hivyo na ugonjwa wake tarehe 25 Oktoba tutampeleka LOWASSA ikulu kuhusu ufisadi kwanza kama unaushahidi mpleke mahakamani ,EPA,ESCROW,MEREMETA,UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI,KIVUKO KIBOVU,MADAWA YA KULEVYA je LOWASSA amehusika huko?nipe jibu wewe uvccm mwenye fikra mgando kama ubongo wa kuku.
Kama hoja yake imekuuma kanywe sumu acha porojo zako hapa
 
we kweli umebaki sana kama kuumwa kila mtu mgonjwa wewe mwenywewe una tezi dume kama ndugu yako
 
Nawaona mnavyoufukuza upepo bila kuuona wala kuukamata Lowasa kuingia ikulu kwa kura za wanachi hilo msahahu kwasababu wananchi sasa hv wameamka washajua kwanza fisadi pili mgonjwa

Humu jf basi patakuwa na malaika,afu wote wahamiaji
 
hawa si ndo aliowaahidi wataendelea kuwa wamachinga for the rest of their lives.
Tafiti zimeonesha kuwa Lowassa ANGALAU anapendwa mijini. Tatizo UKAWA hii mnafikiri Tanzania yooote ni Dar, Mbeya mjini na Arusha mjini, Tanzania kubwa sana! Na wapigaji kura wengi hawapo katika miji hii, oooo ooooh!
Kwani majority ya walioko huko mijini si wametokea huko unakokusema , wanawasilina kila siku kuhusu kinachoendelea mijini kwa hilo sio tatizo , kwani Diamondo wamemjuaje huko vijijini?
 
Kwani majority ya walioko huko mijini si wametokea huko unakokusema , wanawasilina kila siku kuhusu kinachoendelea mijini kwa hilo sio tatizo , kwani Diamondo wamemjuaje huko vijijini?

CCM ndo wamesababisha ajulikane na fiesta zao.
 
Hawa jamaa hawajatoa matokeo ya kura ya maoni tu mpaka sasa hivi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom