Kariakoo nao wanafanya utafiti wao

Kariakoo nao wanafanya utafiti wao

Status
Not open for further replies.
Awe mgonjwa awe amekufa,tutapigia ata kaburi likishinda tunaamishia Ikulu,Lowasa lkulu lazima ata kama mfu.
 
Hiyo inaitwa TWAWAWEZA ndio walikua wakiendesha huo utafiti, kitu mnapata matokeo live
 
Hapa kuna box mbili. Unatumbukiza ama kwa JPM au ENL

View attachment 290687

Kamanda Magu ebu chukueni hatua .Fanyeni mawasiliano na NEC tabia hii ikiendelea mwisho wa siku nikuchomana visu!
Kipindi hiki cha Kampeni kuruhusu upuzi kama huu ambao ni sawa na ule wa TWAWEZA kuwapa Simu watu na kuwahoji ni kuhatarisha amani eneo husika na kueneza chuki miongoni mwa wana jamii.

Kura ni siri sasa hizi za kupigwa mchana kweupe huku Lowasa huku Magufuli sijui usalama wake ukoje?

Hapa kuna box mbili. Unatumbukiza ama kwa JPM au ENL

View attachment 290687

Naona Hapo Wapumbavu Na Malofa Wakiwa Kazini. Umasikini Wao Utabaki Hivyo Hivyo Na Milele Hadi Wajifunze Kufikiri Na Kujituma. Hao Ndiyo Wale Watanzania Waliokuwa Wakitegemea Serikali Ya Kipenzi Changu Rais Kikwete Iwalishe, Iwavalishe, Iwakogeshe Na Iwape Starehe Zote Huku Wao Wakiwa Wamekaa Tu. Sasa Kwa Huyu Rais Ajaye Magufuli Shughuli Itakuwa Ni Zaidi Ya Kikwete Ambapo Juhudi Yako Ktk Kufanya Kazi Ndiyo Itakulisha Na Kukupa Maendeleo Ya Kimaisha. Natabiri Kuongezeka Kwa Mashoga Wengi Sana 2015 - 2020 Hasa Kutoka Kwa Vijana Wa Kitanzania Wasiotaka Kuwa Wabunifu, Kusoma Kwa Bidii Na Kufanya Kazi. Yangu Macho!
 
hawa si ndo aliowaahidi wataendelea kuwa wamachinga for the rest of their lives.
Tafiti zimeonesha kuwa Lowassa ANGALAU anapendwa mijini. Tatizo UKAWA hii mnafikiri Tanzania yooote ni Dar, Mbeya mjini na Arusha mjini, Tanzania kubwa sana! Na wapigaji kura wengi hawapo katika miji hii, oooo ooooh!

mbona unalia lia? dodoma lowasa anakubalika mpaka vijijini...morogoro ndio usiseme...tabora je..lindi na mtwara ruvuma na mwanza..kigoma na kila mahali
 
We kweli Barafu ila iliyo poa..mahaba yako ya ccm yanakufumba uwezo wa kufikili web?? Unaongea hoja rahisi ambayo majibu unayo kabisa acha uzamani ww
 
Kamanda Magu ebu chukueni hatua .Fanyeni mawasiliano na NEC tabia hii ikiendelea mwisho wa siku nikuchomana visu!
Kipindi hiki cha Kampeni kuruhusu upuzi kama huu ambao ni sawa na ule wa TWAWEZA kuwapa Simu watu na kuwahoji ni kuhatarisha amani eneo husika na kueneza chuki miongoni mwa wana jamii.

Kura ni siri sasa hizi za kupigwa mchana kweupe huku Lowasa huku Magufuli sijui usalama wake ukoje?

Amani ipo kaka.. ukiona mtu anaihubiri sana amani ujue huyo ndio huleta hofu kwa watu na wanakosa amani. Watu wenyewe hawana hata shida ukiwaangalia. Ni mbwembwe tu kuelekea uchaguzi na yote hayo yataisha tu baada ya 25.
 
kariakoo ndio soko kuu la tanzania nzima. pale kuna watu kutoka kila mkoa hadi zenji.
 
Attachments

  • 1443091760067.jpg
    1443091760067.jpg
    58.8 KB · Views: 558
Amani ipo kaka.. ukiona mtu anaihubiri sana amani ujue huyo ndio huleta hofu kwa watu na wanakosa amani. Watu wenyewe hawana hata shida ukiwaangalia. Ni mbwembwe tu kuelekea uchaguzi na yote hayo yataisha tu baada ya 25.

Kipindi cha kuelekea Uchaguzi siyo ya kuifanyia mbwembwe kama hizo na hasa muda huu Kampeni eti kwa kupita mitaani na kupigisha kura kwa staili hiyo-kama huwazi mbali unaweza kuona ni mbwembwe na jambo la kawaida.

Sasa kama wasomi wameshindwa kazi.. Ngoja sisi wapbavu tufanye hii kazi .. Nchi ni yetu sote
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom