Mwananzengo
Member
- Jul 16, 2009
- 29
- 4
Kwa hiyo Lowasa Rais wa Kariakoo?
Kwani Kariakoo siyo Tanzania?
Kwa hiyo Lowasa Rais wa Kariakoo?
Utafiti huwa na uhalisia pale unapokuwa umekidhi vigezo vya kitaalamu, kuanzia namna ya kupata sampuli, njia za kufanya utafiti, aina ya maswali, na njia za kufanya uchambuzi. Huu uliofanywa na TWAWEZA unaweza kuwa unakufurahisha lakini kwenye vigezo vya kitaalamu umepwaya.
Nimefanya tafiti nyumbani kwangu.... Magufuli 83% lowasa 16% haribika 1%
mlinzi......... Lowasa
house maid magufuli
mke magufuli
mume magufuli
mtoto 1 magufuli
mtoto 2 dr slaa (kura ili haribika)
kati ya kura sita lowasa 1, magufuli 5, imeharibika 1
m
tunasubiri matokeo ya utafiti wa kariakoo
tusitegemee polisi , tukiwategemea tutashindwa - Jakaya Kikwete .Kamanda Magu ebu chukueni hatua .Fanyeni mawasiliano na NEC tabia hii ikiendelea mwisho wa siku nikuchomana visu!
Kipindi hiki cha Kampeni kuruhusu upuzi kama huu ambao ni sawa na ule wa TWAWEZA kuwapa Simu watu na kuwahoji ni kuhatarisha amani eneo husika na kueneza chuki miongoni mwa wana jamii.
Kura ni siri sasa hizi za kupigwa mchana kweupe huku Lowasa huku Magufuli sijui usalama wake ukoje?
We maku unanini cha maana maneno mengi wakati ccm hakijakufanyia chochote cha maana unabakia kuwapigia domo tuWatu wenye akilı na wanaojitambua,hawakai vijiweni kupayuka mambo ya siasa.Vijiwe vya watu wa Kariakoo na wengi madalali wa mazao toka mikoanı na misheni town pamoja na wadokozı ndo hao watakuwa wamehusika na hyo survey.Wengi wanaojitambua hauweza kuwakuta wanapayukapayuka na mambo hayawaingzıı kıpato.
hawa si ndo aliowaahidi wataendelea kuwa wamachinga for the rest of their lives.
Tafiti zimeonesha kuwa Lowassa ANGALAU anapendwa mijini. Tatizo UKAWA hii mnafikiri Tanzania yooote ni Dar, Mbeya mjini na Arusha mjini, Tanzania kubwa sana! Na wapigaji kura wengi hawapo katika miji hii, oooo ooooh!
Nawaona mnavyoufukuza upepo bila kuuona wala kuukamata Lowasa kuingia ikulu kwa kura za wanachi hilo msahahu kwasababu wananchi sasa hv wameamka washajua kwanza fisadi pili mgonjwa
Watu siku hizi hawadanganyiki kariakoo wameonyesha mfano
Hapa kuna box mbili. Unatumbukiza ama kwa JPM au ENL
View attachment 290687