Kariakoo na Dar es Salaam: Wanahistoria tendeeni haki Historia za majina hayo

Faiza Foxy a.k.a mwarabu wa Tinde
Wala hapana shaka kabisa. Uarabu ni lugha na tamaduni, si rangi wala nywele wala kabila kama wengi wetu walivyojazwa ujinga.
Ipi ndio tafsiri sahihi unaayoikubali na wamekuwekea vyanzo vipi?

Hiyo ni tafsiri yangu na chanzo ni mi binafsi na nimeaandika wazi kuwa hiyo ni tafiti yangu.

Kama hiyo haitoshi nimekuwekea maana za neno Bandar na maana za neno Dar na zinapotokea wapi, pia nimekuwekea na aya za Qur'an urejee.

Ukipenda tafsiri ya tafiti yangu ipokee, hukuipenda leta ytafsiri yako unayoikubali na uweke ushahidi wa ulipotoa na huyo aliyeiatafsiri Kariakoo au Dar Es Salaam katoa wapi usahihi wa maana halisi ya maneno hayo.

Hutoweza kupata tafsiri iliyonyooka na yenye vielelezo (kuhusiana na jina Dra Es Salaam na Kariakoo) kama hii yangu. Nnakupa challenge.
 
Un, kwenye upande wa 'kariakoo' unashindwa kueleweka, yaani mtafiti mwenyewe hauna uhakika unatuambia ' inaweza kuwa'. inamaanisha hata wewe huna uhakika.

De, Tafiti yako haitaji wala kuweka uthibitisho ni kwanini asili ya neno 'kariakoo' sio carrier corps, sana sana umeweka hisia zako kwa kuwa kijijj cha kariakoo kilikuwa na watu wengi early 1900's.
 
Dar es salaam hujulikana kama "Heaven of Peace" hiyo inajulikana sana na imeandikwa sehemu nyingi mno.

Bandar means port, port city or city by the sea kwa kiarabu; Hata mji ulio pembeni ya bahari huitwa Bandar lexchangeably kwa sababu miji mingi iliyo pembeni mwa bahari hutokana na bandari. Kwa hiyo siyo kosa kuita huu mji bandari ya salama.

"Carrier Corps" ni kikosi maalum cha wabeba mizigo wa KAR na hata Nairobi kuna kariakor, Dar es salaam pia kutokana na makaazi au kambi za vikosi hivyo. Babu yangu mzaa upande wa baba yangu alikuwa KAR na alipewa space mtaa wa Muheza waliporudi kutoka Sri Lanka (mwenyewe alipaita Ceylon) na alikuwa karibu na kea wenzake wengi.
Kikosi hiki kilikuwepo hata kenya. Kariakoo jina limetokana na waingereza.
 
Ukifanya tafiti utaona Karia kuu (kijiji kikuu) au Karia kulu (kijiji cha wote) ilikuwepo kabla ya Mwingereza wala Mjerumani kuja.

Sio "heaven" kama ulivyoandika, ni "Haven of peace" au "Abode of Peace"

Majimshindo unapajua?
 
Dar es salaam hujulikana kama "Heaven of Peace" hiyo inajulikana sana na imeandikwa sehemu nyingi mno.

Bandar means port, port city or city by the sea kwa kiarabu; Hata mji ulio pembeni ya bahari huitwa Bandar lexchangeably kwa sababu miji mingi iliyo pembeni mwa bahari hutokana na bandari. Kwa hiyo siyo kosa kuita huu mji bandari ya salama.

"Carrier Corps" ni kikosi maalum cha wabeba mizigo wa KAR na hata Nairobi kuna kariakor, Dar es salaam pia kutokana na makaazi au kambi za vikosi hivyo. Babu yangu mzaa upande wa baba yangu alikuwa KAR na alipewa space mtaa wa Muheza waliporudi kutoka Sri Lanka (mwenyewe alipaita Ceylon) na alikuwa karibu na kea wenzake wengi.
Kikosi hiki kilikuwepo hata kenya. Kariakoo jina limetokana na waingereza.
Majimshindo unapajua?
Nope
 
Una mengi sana ya kujifunza kuhusu Jiji la Dar. Tuulize wenye asili napo tukujuze.

Ni uvivu wa kufikiri tu kuamini kuwa eti wapagazi ni "carrier corps" wakati wapagazi kwa Kiingereza ni "Potters" hadi leo hii wapo wanaobeba mizigo na watu wasiojiweza Kiafya wanaopanda Mlima Kilimanjaro, wanaitwa Potters.

Kariakoo ni Karia kuu kiasili ikimaanisha Kijiji kikubwa au kijiji cha wote. Wajerumani wamekikuta, Waingereza wamekikuta. Kuna historia ukiisoma, kazi kwako, utakuta katika 1900's Kariakuu tayari ilikuwa na wakazi 24000. Haya nambie kulikuwa na Muingereza hapa na hao KAR wako?

Unakuja kupinga tafiti wangu kwa yale yale niliyoyapangua mimi? Unanchekesha.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

kaisome tena post yangu uliyoijibu kimihemko. Nimeweka references chache nilizotumia na hazipingiki.
 
Shikamooo

Ova
 
Hivi Tanganyika ingeanza kutawalia na Waislamu asingekuwa nchi ya Aina gani???

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Tanganyika na kabla ya hapo ilikuwa ni utawala wa Waislam ndio maana leo unaabudu kwa uhuru, upendacho. Jiulize ungeanza kwa utawala usio wa Kiislam ungekuawaje.-?

Hivi Hamuelewi kuwa Wazungu ndio walioleta Ukristo? Walipokuja walikuta tayari tawala zipo na zilikuwa za Waislam na wakakaribishwa.

Ni kipi kigumu kukifahamu hapo? Au historia unayosomesshwa uliambiwa Tanganyika na kabla ya kuitwa Tanganyika utawala ulikuwa wa nani? Msome Ibn Batuta aliekuja hapa kabla ya wengi na aliandika alichokikuta alikuta, alikuta nini na ilikuwa ni mwaka upi?
 
O sawa !je uislam waliuleta nani tanganyika?

Ova
 
Logical
 
Kajifunze historia katika mfumo secular wa elimu badala ya madrasa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…