Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
Nchi imeishachafuka sasa sio kutembea kijinga lazima utembee na kitendea kazi kiuononi kwa ajili ya kujilinda.
nipo moroco naona vijana wa mwamunyange magari kama mia yanaingia vitani
.....watu wakikosa kazi huwa hawana focus,kwa maana hiyo tutashuhudia mengi sanaaa.Lakini swali la kujiuliza ni hili...TANZANIA KUNA SERIKALI? NA KAMA IPO INA MENO? JE INAWAJALI WATU WAKE?
au na wao wamekimbia wanaogopa boko haramMi cjui wameenda kupata lunch hata cjui!
Eti picha!
hatufanyi fujo tanataka haki yetu
.....watu wakikosa kazi huwa hawana focus,kwa maana hiyo tutashuhudia mengi sanaaa.Lakini swali la kujiuliza ni hili...TANZANIA KUNA SERIKALI? NA KAMA IPO INA MENO? JE INAWAJALI WATU WAKE?
Vurugu kariakoo..
Ni habari za kweli mi niko ofisini ila kuna mtu ana spouse wake kampigia simu kuwa hali si shwari, mabumu na vya moto tinatembea huko! Mungu atuepushe na nguvu za shetani hizi! maana hapo hakuna uungu ni shetani mwenyewe!!
you just remembere the source