Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Jamani hapa kariakoo maeneo ya Bigborn kuna FFU wa kutosha. baadhi ya askari walikuwa wanashauri watu wafunge maduka. Duh! hawa watu wanataka kuwa na nguvu zaidi ya polisi sasa. Sijaweza kubaki sana kuona kinachojiri kutokana na usalama wangu.

"Duh! hawa watu wanataka kuwa na nguvu zaidi ya polisi" sasa una mananisha nini????? Ni wengi sana na polisi wamezidiwa nguvu au vipi????
 
Nipo mitaa ya posta hapa, zimepita defender kama 5 na full FFU hope zinaelekea huko Kkariakoo, Pia shughuli zote zimesimama kariakoo, na mabank yote yamefunga!
 
Kama ni wafuasi wa sheikh ponda wapigwe tuu! piga hao mburula wasio na shuguli za kufanya! Ogesha maji washa ili tuwakune wajinga hao.
 
Haya ndio matokeo ya manyanyaso na dhulma zinazofanywa na polisi kwa Watanzania katika sehemu mbali mbali nchini. Sasa Watanzania wamechoka na hali kama haikurekebishwa haraka basi vifo vya polisi na majeruhi yatazidi kuongezeka nchini kupitia mikononi mwa Watanzania.

Msimbazi na kidongo chekundu ni mapambano askari mmoja naona anavuja damu.
 
Jamani hapa kariakoo maeneo ya Bigborn kuna FFU wa kutosha. baadhi ya askari walikuwa wanashauri watu wafunge maduka. Duh! hawa watu wanataka kuwa na nguvu zaidi ya polisi sasa. Sijaweza kubaki sana kuona kinachojiri kutokana na usalama wangu.
sas mkuu ukiondoka tulio mikoani tutapateje taarifa?
kuwa mvumilivu chukua hadi picha kabisa,

Angalizo angalia usije pigwa na kitu chenye ncha kali, jifiche mahali tu tupate hata tupicha
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom