Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

60760_446287235417628_1921730637_n.jpg

Mkuu hii picha ya Mbagala
 
Ndugu yangu Ritz inaonekana huko mbali sana na mitaa hiyo.Waambie hao jamaa kama wameamua kuchoma moto makanisa kwa kitendo cha kuukojolea msahafu na ile filamu ya kumtusi Mtume basi wachome makanisa ya kiyahudi yanayoitwa Sabato.Hawa jamaa ni wachokozi sana.Tangu kuingia haya makanisa imekuwa tabu.Na kama ni kwa suala la kufanyiwa dhulma ndani ya Tanzania kwa kuwekewa vikwazo vya elimu na ajira basi waanze na yale ya wakatoliki.
Mapepo at work!
 
Hali si shwari kariakooo! Pamechafuka na kuna maaskari wana letwa na mapambano yanaendelea kariakoo kati ya askari na wanachi.

Maduka yote yamefungwa na shughuli zime simama kariakoo hapa kaliki, pame kuwa si mahali salama, magari hakuna na wengine wametelekeza magari yao na kukikimbia na kuna nyumba ina ungua.


Source Itv., wapo radio
 
Unajua, watu huwa wanashangaa Israel, Palestina, Libya, Egypt, DRC,Rwanda.. haya mambo yalikuwaje...kwamba mtu mnaongwa naye asubuhi lakini mchana hayupo? Kwamba wanafunzi wanasoma hawajui kama watafika chuo kikuu, wafanya kazi wakiagana kila siku wakitegemea lolote(kwamba kesho naweza nisimuone mfanya kazi mwenzangu).

Haya mabomu, na sulaha zingine zinazotumika kutulizia fujo ndizo hizi hizi zitazofanyia ujambazi, hizi hizi zitawaua viongozi, simply kwa kuchoshwa na mambo ya kihuni yanayofanyika sasa!

Wakati Nchi nyingine kupitia balozi zao(mfano Wamarekani) Tanzania tumestarehe, na viongozi wako kimya kuhusu hili Kuanzia Rais, Makamu, W/mkuu, W/Ndani, W/Ulinzi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Wakuu wa Mikoa n.k..sasa yatayotokea mbeleni(kwa VIONGOZI wenyewe) wasije kushangaa!
 
Msimbazi na kidongo chekundu ni mapambano askari mmoja naona anavuja damu.

Yote haya uroho wa madaraka, hadi jamaa yako akahamua kutugawa kwa kutumia imani zetu. Sasa sijui tukiuana atatawala mizoga?? hebu ongea na mshua mbadilike basi!!!
 
Jamani sisi tunaoishi kariakoooo leo kweli

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Habari ni kuwa hapa maeneo ya makumbusho waandishi wa blog yangu wamepishana na malori ya wanajeshi JWTZ wanaoelekea kwenye jumba jeupe kudhibiti kundi la waislam wanaotaka kwenda ikulu.Maeneo ya posta kuelekea mambo ya ndani napo kimenuka ni moshi wa mabomu.kariakoo maeneo ya kongo mpaka karibu na msiki wao kimenuka.Makumbusho napo kimenuka ma sheikh kadhaa na wafuasi wao wametiwa nguvuni hali si shwari jijini dar.Picha baadae jamani.

Usijali mkuu, najua sa hizi huwezi piga picha . Una chupa ya maji karibu?
 
niko huku kinondoni magari 4 ya jwtz yakiwa na wanajeshi full na silaha yamepita yanaenda town

Magari manne kupita yamejaa wanajeshi na silaha kupita yanaenda town si neno, neno ni wanaenda fanya nini? Fuatilia utujuze!!!
 
Back
Top Bottom