Kanisa la KKKT Makongoro, Furahisha Mwanza lafanya ibada ya kumuombea Freeman Mbowe, wafuasi wa Chadema wafurika

Uongo mtupu. Leo nilikuwa muumini katika kanisa hili na hakukuwa na kitu kama hichi
 
Mh.Mbowe ni muumini ana HAKI YA KUOMBEWA.....

Mh.Mbowe ni MTANZANIA na binadamu mwenye HAKI ya kufanyiwa maombi.......

Hata UAMSHO waliombewa Sana....kila pembe ya nchi....ila WAKAKAA RUMANDE MIAKA 8.....

Mandela naye aliombewa na nchi nzima, Afrika nzima....ila ALIKAA ROBBEN ISLAND miaka zaidi ya 20.......

MUNGU humpenda aliye huru....
MUNGU pia humpenda MFUNGWA.......

#NchiKwanzaKablaYaNafsiZetu
#SiempreSerikaliMbili
#KatibaMpyaSiHitajiLaWatanzaniaWalioWengi
#KaziInaendelea
#KaziInaendeleaKwaKasiYaKutisha
 
Kwa Hiyo CDM wameamua kutubu makosa yao na kumrudia Mungu?

Nchi itapona Sasa.
 
Ogopa sana dini zikianza kupaza sauti zao kwenye nyumba za ibaada bila hata kiongozi wa ibaada kujua.
Ukikataliwa Duniani na Mbinguni umekataliwa.
Hawalijui hili,kuna mmoja alikuwa akishindana na viongozi wa dini
 

Ninakazia chonde chonde Maisha ya watu kwanza:


Tuwakemee wote wanaotaka kutuletea maafa bila kujali wako wapi:

 
Safi sana 👍🏽
 
Wakati wakiendelea kumuombea kwa Mungu Mheshimiwa Mbowe mimi nimeshaandaa zana za kivita kesho sikilizeni taarifa njema za damu ya kijani kumwagika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…