Mwambie RC hakuna askofu mwenye PhD ya kupewa, wote wamesomea.Wewe ni Panya mdogo sana usifikiri RC ni Kanisa la Ufufuo na Uzima.
Kaa kwa kutulia.
Mwambie RC hakuna askofu mwenye PhD ya kupewa, wote wamesomea.Wewe ni Panya mdogo sana usifikiri RC ni Kanisa la Ufufuo na Uzima.
Kaa kwa kutulia.
Watanzania (wapagani,wahindu, waislam,chaaba na dudukwe etc)Nchi hii ni ya Nani?
What's PhD!?.. what difference've they made!?.. PhD zao ndiyo zinawatuma kulawiti watoto!?Mwambie RC hakuna askofu mwenye PhD ya kupewa, wote wamesomea.
UnajidanganyaNovena haijafanya kazi?..acha watoe nyaraka, dying horse,nchi hii si ya kanisa
Wanajidanganya wanaoamini Wana power wakati ni debe tupuUnajidanganya
Kama ni hivyo uchaguzi ni wa nini sasa?Huwezi weka hatima ya nchi mikononi mwa wapumbavu kupitia karatasi ya kura
Huko hakuna mwenye PhD ya kupewa, lipi hapo gumu kueleweka?What's PhD!?.. what difference've they made!?.. PhD zao ndiyo zinawatuma kulawiti watoto!?
Nani ana shida na PhD?Huko hakuna mwenye PhD ya kupewa, lipi hapo gumu kueleweka?
Nafahamu maimamu hawana shida nazo.Nani ana shida na PhD?
Kuhakikisha hatukosi mikopo na misaada,na ku-diffuse pressureKama ni hivyo uchaguzi ni nini sasa?
Zinawasaidia nini huko parokia?Nafahamu maimamu hawana shida nazo.
Hakuna linaloshindikana kwa Mungu.Kama Yesu Kristo alikufa na akazikwa na serikali ya wakati ule lakini siku ya Tatu Alifufuka kutoka wafu na akapaa mbinguni.Pia atakuja kwahukumu wazima na wafu basi nyaraka za Kanisa Katoliki hazitaenda bure.Hata kipindi cha CORONA Magufuri aligombana na Kanisa Katoliki na akaanza kutoa vitisho kwa Maaskopfu na Mapadre.Lakini haikuchukua hata miezi miwili akafa kwa ugonjwa huo huo aliokuwa anasema haupo na Kanisa likamzika.Labda watatoa waraka hadi wachanike midomo na siyo kutetemesha nchi, hizo taarabu ziishie hukohuko kanisani mkileta huo ujinga barabarani kipigo chake ni cha mbwa koko
Kuisimamia kweli.Zinawasaidia nini huko parokia?
Wapige masta na ma-dada wapo nao humohumo!?Wapiga master-b
Kweli ipi!?😆😆Kuisimamia kweli.
Umekosa, Tanzania inamilikiwa na nyie CCM na wanamtandao, kama wewe ni MASKINI tafuta connection upande vyeo,usikae tuu hapa jf kupiga keleleWatanzania (wapagani,wahindu, waislam,chaaba na dudukwe etc)
Yesu hakulawiti watotoHakuna linaloshindikana kwa Mungu.Kama Yesu Kristo alikufa na akazikwa na serikali ya wakati ule lakini siku ya Tatu Alifufuka kutoka wafu na akapaa mbinguni.Pia atakuja kwahukumu wazima na wafu basi nyaraka za Kanisa Katoliki hazitaenda bure.Hata kipindi cha CORONA Magufuri aligombana na Kanisa Katoliki na akaanza kutoa vitisho kwa Maaskopfu na Mapadre.Lakini haikuchukua hata miezi miwili akafa kwa ugonjwa huo huo aliokuwa anasema haupo na Kanisa likamzika.