Kamusi ya TUKI: Kiingereza - Kiswahili/ Kiswahili - Kiingereza

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
1,693
Points
1,250

Mrimi

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
1,693 1,250
Mrimi ... "no longer working" unamaanisha nini ... mbona download link bado ipo active? ... wewe download then unzip utaitumia
Mkuu I did mean what I wrote.
Nimedownload na kunzip file,ila vilivyomo ndani didnt work right.May be jaribu hata wewe uone.
 

Dotworld

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Messages
3,944
Points
1,250

Dotworld

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2011
3,944 1,250
Mkuu I did mean what I wrote.
Nimedownload na kunzip file,ila vilivyomo ndani didnt work right.May be jaribu hata wewe uone.
Mkuu Mrimi .. Ok nafikiri nimekuelewa.

Unajua hii kamusi ina-run kwenye web browser (Internet Browser) yeyote ingawa hauhitajiki / siyo lazima uwe na Internet kwenye Komputa yako

Uki-unzip, fungua Folder lililoandikwa TUKI Dictionaries, alafu ukitaka kuitumia Double click file inaloitwa index - sasa hii inafunguka kwenye Internet Browser (Internet Explorer / Google Crome / Mozila / Opera) ukifungua chagua Kiswahili au Kiingereza kulingana na matumizi yako.

Nafikiri hapa shida kwako ni namna ya kuitumia teknologia tu - ukifuata maelekezo hayo utaweza kuitumia
 

grafani11

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2011
Messages
15,505
Points
1,500

grafani11

JF-Expert Member
Joined May 24, 2011
15,505 1,500
Mkuu Dotworld nakushukuru sana kwa ukarimu wako, sio wote wenye moyo wa kusaidia wengine kama wako. Nilikuwa katika pitapita zangu nikakutana na hii kitu kwa kweli imetulia.

Mungu akubariki sana na azidi kukuongezea na mambo mengine mazuri. Ameen.
 
Joined
Apr 3, 2013
Messages
74
Points
70
Joined Apr 3, 2013
74 70
Pole mtaalamu mambo ya virusi hayo Ipo kamusi ya Kingereza kwenda kingereza pia kiswahili kwenda kiswahili. pia kiswahili kwenda kingereza pia kingereza kwenda kiswahili yani njia zote full. (ingia hapa) udownload hii ni stoo yangu ya online kwahiyo ukifika hapo jitambulishe nitakuruhusu udownload for free. Manake Mkubwa wetu alisema ombeni mtapewa tafuteni mtapata.
 

Forum statistics

Threads 1,390,882
Members 528,284
Posts 34,065,125
Top