Kamusi ya TUKI: Kiingereza - Kiswahili/ Kiswahili - Kiingereza

mambo vipi waungwana nomba kama kuna mtu ana dictionary ya kiingereza yaani English to kiswahili:flypig:
 
mambo vipi waungwana naombeni mnisaidie English to kiswahili jamani English inasumbua naombeni msaada kwenu
 
mambo vipi waungwana nomba kama kuna mtu ana dictionary ya kiingereza yaani English to kiswahili:flypig:
 
Naweza Kupata hakimilki za hii tuki anamiliki nani?
Contact zake?
Nina nia njema tu kwa lugha yetu!
 
Naweza Kupata hakimilki za hii tuki anamiliki nani?
Contact zake?
Nina nia njema tu kwa lugha yetu!

Chini kabisa kwenye kila ukurasa kuna maelezo ya kuwasiliana nao.

kiswahili.jpg
 
Mrimi ... "no longer working" unamaanisha nini ... mbona download link bado ipo active? ... wewe download then unzip utaitumia

Mkuu I did mean what I wrote.
Nimedownload na kunzip file,ila vilivyomo ndani didnt work right.May be jaribu hata wewe uone.
 
Mkuu I did mean what I wrote.
Nimedownload na kunzip file,ila vilivyomo ndani didnt work right.May be jaribu hata wewe uone.

Mkuu Mrimi .. Ok nafikiri nimekuelewa.

Unajua hii kamusi ina-run kwenye web browser (Internet Browser) yeyote ingawa hauhitajiki / siyo lazima uwe na Internet kwenye Komputa yako

Uki-unzip, fungua Folder lililoandikwa TUKI Dictionaries, alafu ukitaka kuitumia Double click file inaloitwa index - sasa hii inafunguka kwenye Internet Browser (Internet Explorer / Google Crome / Mozila / Opera) ukifungua chagua Kiswahili au Kiingereza kulingana na matumizi yako.

Nafikiri hapa shida kwako ni namna ya kuitumia teknologia tu - ukifuata maelekezo hayo utaweza kuitumia
 
ni kweli kabisa405919]mambo vipi waungwana naombeni mnisaidie English to kiswahili jamani English inasumbua naombeni msaada kwenu[/QUOTE]
 
Mkuu Dotworld nakushukuru sana kwa ukarimu wako, sio wote wenye moyo wa kusaidia wengine kama wako. Nilikuwa katika pitapita zangu nikakutana na hii kitu kwa kweli imetulia.

Mungu akubariki sana na azidi kukuongezea na mambo mengine mazuri. Ameen.
 
Pamoja sana Mkuu grafani11
 
Pole mtaalamu mambo ya virusi hayo Ipo kamusi ya Kingereza kwenda kingereza pia kiswahili kwenda kiswahili. pia kiswahili kwenda kingereza pia kingereza kwenda kiswahili yani njia zote full. (ingia hapa) udownload hii ni stoo yangu ya online kwahiyo ukifika hapo jitambulishe nitakuruhusu udownload for free. Manake Mkubwa wetu alisema ombeni mtapewa tafuteni mtapata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom