Kamusi ya TUKI: Kiingereza - Kiswahili/ Kiswahili - Kiingereza

Mahmood

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2008
Messages
7,840
Points
2,000

Mahmood

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2008
7,840 2,000
Mambo vipi waungwana,naomba kama kuna mtu ana Dictionary ya kiingereza yaani English to Swahili au Swahili to English anisaidie nilikuwa nayo kwenye Computer yangu baada ya kui-format imekuwa kati ya vitu viliyoishia.Useful English to Swahili - Swahili to English Translator with audio.

Baada ya ku translate Inasoma "translated words" kwa sauti.

Kwa Kiswahili na kwa Kiingereza.

Download it in the google play store here:

English to Swahili Translator - Android Apps on Google Play
 

Forum statistics

Threads 1,390,891
Members 528,285
Posts 34,065,427
Top