Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,013
- 10,170
Asante kiongozi japokuwa nimeingia late
Mkuu I did mean what I wrote.
Nimedownload na kunzip file,ila vilivyomo ndani didnt work right.May be jaribu hata wewe uone.
Jaribu kudownload LINGVO X3 ni dictionary nzuri pia
Me nataka software siyo soft copy!!
Mkuu Dotworld nakushukuru sana kwa ukarimu wako, sio wote wenye moyo wa kusaidia wengine kama wako. Nilikuwa katika pitapita zangu nikakutana na hii kitu kwa kweli imetulia.
Mungu akubariki sana na azidi kukuongezea na mambo mengine mazuri. Ameen.