Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,997
- 8,189
Abood au?! yupo sana na anazidi kushusha gari za kutosha sema amehamia kwenye youtong F12 zile paradiso zimepaki gereji kwake pale haziendi kokote labda tunduma ila mara ya mwisho nimepanda 2017 sidhani kama bado anazitumia huko, ama Hood naiona moja pale mzani kihangaiko imepaki kama mwaka wa 4 huu Islam zijaziona barabarani miaka mingi sasa.Hizi kampuni bado zipo? Maana nakumbuka nilikua nazipanda 2012 kwenda mbeya nikitokea huku kaskazini na pale gereji kwake lazima tuingie
Kampuni ya HOOD nafikiri imepotea kabisaAbood au?! yupo sana na anazidi kushusha gari za kutosha sema amehamia kwenye youtong F12 zile paradiso zimepaki gereji kwake pale haziendi kokote labda tunduma ila mara ya mwisho nimepanda 2017 sidhani kama bado anazitumia huko, ama Hood naiona moja pale mzani kihangaiko imepaki kama mwaka wa 4 huu Islam zijaziona barabarani miaka mingi sasa.
Ndio maana watanzania tunaonekana mbumbumbu huko duniani kwa sababu ya akili fupi na finyu kama zako. Shwaini.Usijipe umuhimu kwenye biashara za watu.yaelekea ni mtu flani una kiherehere sana.
HayajakukutaBus inayo jielewa ni shabiby tu.
Duh! Dereva anapigana na abiria!Hao shabiby,dereva kupigana na abiria ni dakika sifuri. poor customer service.
Nafikiri mzee alifariki.Kampuni ya HOOD nafikiri imepotea kabisa
Gari zao nyingi siku hizi ni mbovu, tuwe wakwli, awali walikuwa wazuri sanaWalikuwa vizuri sana ABC lilikuwa gari langu pendwa,siku za hivi karibuni sijui wamekumbwa na Nini,wiki chache nilikuwa nasafiri na basi la saa tisa jioni mapema siku ya safari nikapigiwa simu kuwa wanaomba radhi badala ya saa tisa tutaondoka saa kumi na Moja jioni hivi saa kumi na nusu nireport stand,nimefika hiyo saa kumi nilisubiri mpaka saa Moja usiku ndio wanafika .
Kwa shabiby ni kawaida hiyoDuh! Dereva anapigana na abiria!
Unauziwa kiwali kiduchu eti Tshs. 8,000/=. Wizi kabisa.Hivi huwezi kula crips na juice mpaka ufike safari yako ndio ukale uko unapokwenda?
Kwanza mimi kufanywa mjinga huwa sipendi, bei za hivyo vyakula ukiachanaa na usalama wa tumbo haviendani, siwezi kununuwa chakula kwa watu wanaokufanya wewe fala.
Unyama sana. Ukipanda basi la Iringa - Dar dereva anaitwa Diwani, full burudani- jamaa maneno mingi sana, na mguu unanyooka kwenye acceleratorSuluhisho la matatizo yote hayo ni Al saedy. Hutajuta
Wanakwepa kodi hao nenda TRANina mpango wa kuwafungulia mashtaka. wamenikatia tiketi ya kieletronic nikatumiwa ujumbe kwenye simu kwa SMS bahati mbaya sikusoma SMS yote. Nimefika Dar napeleka madai kwa muhindi wangu ili anirudishie nauli yangu nakuta nauli imeandikwa TBR to Dar shs 100 (Mia moja) . Muhindi kagoma kunirudishia 50,000 niliyolipa akidai tiketi inaonyesha nimelipa sh 100.Nimeshaenda Latra wameniambia niende kesho. Shenzi sana hawa
Badilisha basi la kusafiri nalo.Mjinga haagwi.Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana
Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy
Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4 kamili, jambo la kushangaza basi linatoka pale saa sita kasoro
Mkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta
Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh
For sure mnakera sana mjirekebishe
Lipa namba za vituo vingi ni majina ya watu na sio Jina la kampuni
Wanakera sana
Na pale shel kuna mwana anaitwa maneno hana baya ni mtu na nusuUnyama sana. Ukipanda basi la Iringa - Dar dereva anaitwa Diwani, full burudani- jamaa maneno mingi sana, na mguu unanyooka kwenye accelerator
Nilikuwa nauliza juu ya Hood maana nilizipanda 2012 nikiwa nina routes za mbeya, sijajua kama siku hizi zipo au zimebadili majina,Abood au?! yupo sana na anazidi kushusha gari za kutosha sema amehamia kwenye youtong F12 zile paradiso zimepaki gereji kwake pale haziendi kokote labda tunduma ila mara ya mwisho nimepanda 2017 sidhani kama bado anazitumia huko, ama Hood naiona moja pale mzani kihangaiko imepaki kama mwaka wa 4 huu Islam zijaziona barabarani miaka mingi sasa.
Hood hazipigi tena mzigo. Zipo tu yard kwakeNilikuwa nauliza juu ya Hood maana nilizipanda 2012 nikiwa nina routes za mbeya, sijajua kama siku hizi zipo au zimebadili majina,
Islam sijaziona tena toka 2013, labda majina wamebadili.
Boss alisharudisha namba?Hood hazipigi tena mzigo. Zipo tu yard kwake
Mbona mabasi mengi siku hizi yana vyoo ndani,au mzee huogopi fisi huko maporini...?Nilishawahi kutoa mawazo ya vituo vya kuchimba dawa kuongezwa ngoja nifungulie uzi mwingine
Ahaa sawa wote hawapo barabarani mkuu.Nilikuwa nauliza juu ya Hood maana nilizipanda 2012 nikiwa nina routes za mbeya, sijajua kama siku hizi zipo au zimebadili majina,
Islam sijaziona tena toka 2013, labda majina wamebadili.