KERO Kampuni Ya Mabasi ABC upper class Mnakera Sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mkuu,kuna people zinakula mpaka saa 9 za usiku,unajiuliza huyu mtu saa 9 za usiku anafakamia supu humu njiani ana tatizo gani?

Haha point ni kwamba mnakaa 45mn mmesimama tu bora kungekuwa na chakula watu wangekula
 
Ohhh ni kweli hata Abood huwa wanawapeleka ofisini kwao kule moro ila sikumbuki kama inafika 45 minutes.
Abood pale Gereji kwake huwa anafanya 'ugwiji' waziwazi na ameshasema kama hutaki, tafuta basi za kampuni nyingine upande, ila yeye pale upende usipende lazima gari iingie, abiria mshuke nje likafanyiwe mambo ndani ndio muondoke
 
Sasa now imekuwa too much
 
Abood pale Gereji kwake huwa anafanya 'ugwiji' waziwazi na ameshasema kama hutaki, tafuta basi za kampuni nyingine upande, ila yeye pale upende usipende lazima gari iingie, abiria mshuke nje likafanyiwe mambo ndani ndio muondoke
Na huu utaratibu amedumu nao tangu enzi ya Hood na Islam, kweli kabisa mkuu.
 
Abood pale Gereji kwake huwa anafanya 'ugwiji' waziwazi na ameshasema kama hutaki, tafuta basi za kampuni nyingine upande, ila yeye pale upende usipende lazima gari iingie, abiria mshuke nje likafanyiwe mambo ndani ndio muondoke

Haha itakuwa mambo ya Ulozi
 
Nakazia nimsafiri wa mara Kwa mara na bushizi, hawaendi na mda, unakata bus hili mara paa unabadiliahiwa bus. Wahusumu hawasikilizi wateja Kwa wakati, nikama Kuna mgomo wa sirisiri. Wamewatoa New force Tunduma kiaina, wamewafanya new force kupoteza Haina Kwa abriroa. Ningefurahi sana na KATARAMA aingoe ruti ya Dar Tunduma kuleta ushindani. Watu wanahitaji Bus za kisasa, huduma za choo. Safari ndefu namna hii inahitaji luxury buss.
 
Abood mmeleta ushindani mkubwa kwenye route ya Tanga, ingieni na route ya Tunduma Dar Kwa miguu yote, bus za Luxury, sio kibasi kimoja Cha T D ya sasa, ABC wamelewa sofa, sasa wamejisahau. Office ya Tunduma hata choo hakuna, watu wanakojoa ukutani.
 
Napenda basi linalosimama kuanzia 30minutes wakati wa kula au mapumziko. Sio mnakula juu juu dakima kumi tu. Kilimanjaro pia Wana utaratibu huo.
Sasa safari za ndani unataka kula njiani hivi huwa hamjiuhurumii?

Huwezi kusurvive kwa juice na snacks na mpaka unafika?
 
Napenda sana dkk kuwa zaidi ya 15 ktk vituo vya usaidizi ( hotel) maana kula na kuchimba dawa kwa dkk 10 ni mtihani sana. Lol
 
Route ya Dar Sumbawanga inahitaji muwekezaji wa kisasa aingize luxury za kisasa, New force wamejisahau, hata Usb kwenye viti ni shida.

Wakifika Tunduma wanapanga vindoo vya plastic vya lita kumi wanapakia watu wanakaa kwenye vindoo ni uswahili mtupu na abiria wapo kimya, nilishawachomesha kwa traffic siku moja gari ikapigwa fine.
 
Napenda sana dkk kuwa zaidi ya 15 ktk vituo vya usaidizi ( hotel) maana kula na kuchimba dawa kwa dkk 10 ni mtihani sana. Lol
Hivi huwezi kula crips na juice mpaka ufike safari yako ndio ukale uko unapokwenda?

Kwanza mimi kufanywa mjinga huwa sipendi, bei za hivyo vyakula ukiachanaa na usalama wa tumbo haviendani, siwezi kununuwa chakula kwa watu wanaokufanya wewe fala.
 
Heeee .....yaani nakazia!

Kuondoka kwa kuchelewa pale manzese bila maelezo ....mara eti wanapakia mizigo sababu NDIYO inayompa boss Pesa, Sasa si atafute vikenta kama mwenzie Kimbinyiko!

Vituoni wanauweka sana mpk kama unatarajia kuunganisha kama msafiri wa kijijini unakuta hamna usafiri!

Sipandi Tena mibasi yako
 
Absolutely
 
Kabisa ni ngumu sana kwenda na wakati
Unaweza kuwa na plan zako then muda wote unaishia ukiwa road
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…