Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,356
- 30,792
Ni ipi biashara isiyo kichaa?
Namimi nitakuuliza ni biashara gani nyingine ambayo household names on the par with the likes of Scandinavia, Hood, Royal zimekufa na zinaendelea kufa kila Leo?
Ni ipi biashara isiyo kichaa?
Upo sahihi ila Jordan za SA zinaishia Lusaka tu Intercity station Mkuu gari zinazopitiliza Lusaka ni za Kitwe/SA au Ndola..Service, madereva professional,mwendo wa kawaida sababu zinavuta tela la mizigo.
Jordan za south zinafika hadi Tunduma.
Pana mbongo kaleta engine nyuma za Ubungo to south Africa, mazingira ya bongo engine nyuma zimefeli nyingi kwa sababu ya joto na matunzo zikiwemo daladala za mbagala.
Baba yao alifariki ni Wanyia wa Mbozi hapo hata mwanzoni walikuwa na wafanyakazi wengi Watanzania sema pana mtoto mmoja kakulia Zambia mwingine Nakonde huyu wa Nakonde ana tabia za kibongo sana yule wa Zambia hawapendi Watanzania hata kwenye kupakia mizigo kipindi cha high season huwa anaangalia Uzambia mbele kuliko huyu Mwingine ila wamefauru sana kwenye kusafirisha mizigo kwa Truck na Bus hizo Scania zao wanachukua zilizo kwenye ubora saana mpaka zianze kusumbua sio leo...Upo sahihi mkuu. Matunzo kwenye hizi machine ndio kila kitu. Shalom hatari sana na mwenzake intercape kwao irizar in za kumwaga kama abood alivyomwaga Zhongtong zake
Mimi huwa nashangaa Sana!!!duuuh, watu mnajua mambo mengi, aysee!
Waafrika sijui tukoje wenzeHivyo ndivyo inatakiwa iwe. Serikali nyingi zinaanzisha investment banks kwa ajili ya kuwa support watu kama Saul. Hao wachina ukifuatilia kuna support nyuma yake.
Kampuni/ biashara nyingi nyuma huwa kuna serikali nyuma yake
Mmmh punguza kamba yaani scania(yenye chasis ya bus)haina booster?gemilang na G7 zote zina booster mchina ndio kakosa booster.Mchina ana booster kwenye bumps anapita na 120 kama traffic hayupo,scania utakata spring kwa speed hio kwenye bumps.
Abiria hawasikii mashimo hata ukae siti ya nyuma sababu ya booster, Scania ni lazima uende juu urudi chini.
Body ya Mchina nyepesi mizani,pili hata ikipata ajali madhara ni machache sababu body inakubali kubonyea body ikibonyea inapunguza ile pressure sababu inakuwa haina kizuizi tofaut na body ikiwa ngumu ajali ikitokea wengi usagika kwa sababu ile compact yaan mgandamizo wa unakosa sehemu ya kupumulia so abiria upata madhara makubwa
Wanufaika wakuu wa biashara ya busWakurugenzi wa mabasi wana sonona sana. Tusione tu vyuma barabarani mambo kwa ground sio poa
Point!Hivi biashara ya mabus unanunuaje Scania show room utegemee faida labda Kama ni sufuria.sufuri ni mabus ya kuchonga body ambayo gharama haizidi milion 200.
Bongo hakuna watundu angalau Kenya kwa singa singa master fabrication anaemchongea Tameed bus zake
Biashara ya mabus cheza na mchina ndo utapata faida na kudumu kwenye game.
Abood angebakia kwenye masufuria yake angeshapotea kitambo kwenye game kama alivyopotea Hood.
Dar express asipohamia Kwa mchina nae anaenda potea mazima.
Mchina ni luxury na comfortability pamba na anarudisha Hela haraka.
Scania moja unapata Mchina mbili.
Durability itakusaidia nini wateja wanaangalia fashion
Wamiliki hali ni teteWanufaika wakuu wa biashara ya bus
1. Mpiga debe
2. Traffick
3. Agent
4. Dereva.
5. Kondakta
6. Mkurugenzi wa bus
Ni Kiswele sio kaswele, mabasi ya kwetu songea.Ni kama hawa wazee wa Morogoro walivyotoweka barabarani sadiqe line, Islam na hood.
Na wengine weengi tu kama kaswele, No challenge, scandinavia.
Kila enzi na zama zake "heydays"
Ajali waachie New Force/ Golden Deersauli AKA tege boy sasa ivii amefulia fine zimekuwa nyingi na ajali
Nacharo kanunua scania? Niliacha ana michina tupu, anaipigisha ruti ya TANGA to ...Duuh! Punguza chumvi kidogo
Yaani scania inachukua miaka 6-9 kurudisha pesa?
Basi Akina superfeo,katarama Nacharo Na zuberi wasingenunua izo scania
Mchina anachomzidi scania Ni kwenye interior design basi.
Mambo mengine ni chini ya kapeti ngoja tuone chuma zilizobaki kuna tetesi na ile G7 DXE iko mbioni kuondokaJamaa mbabaishaji anayumbaje na soko kaliteka,pamoja na kubaki na mbili bado abiria wanazigombania sijui anakwama wapi!
Vyuma piru Zhongtong mega. Chuma kikiwa kipya lazima kivutie abiriaAchimwene kwa sasa anaaminika na kupendwa kuliko Sauli...
Hao wa 1&2 mpiga debe na trafiki ndio wanakula bila kuwekeza chochote, yaani hawanaga hasara kabisa.Wanufaika wakuu wa biashara ya bus
1. Mpiga debe
2. Traffick
3. Agent
4. Dereva.
5. Kondakta
6. Mkurugenzi wa bus
Mbeya ni mbali kuliko bukoba,kigoma,mwanza na musoma mbona kuna michina kibaoMchina anaweza piga miaka 3 nenda rudi mbeya? Sidhani, New force anapumzisha gari zake kwa sababu uwezo anao na siyo ubora wa gari zake.
Sauli angelikuwa na mchina angelipaki baada ya mwaka. Mchina hawezi pigishwa mwaka mzima DAR - Mbeya-DAR akabaki kwenye game
Nimekuuliza swali jepesi tu ila limekushinda kujibuNamimi nitakuuliza ni biashara gani nyingine ambayo household names on the par with the likes of Scandinavia, Hood, Royal zimekufa na zinaendelea kufa kila Leo?
Hiyo sadaka unamaanisha nini?Gari hazitaki mchezo....
Gari lazima ulijue gari...
Gari ni ufundi....
Gari uwe na karakana ya kisasa....
Gari uwe na madereva madhubuti...
HELA ya Gari kula 5% tu....iliyobaki ni hela ya Gari.
Gari ni sayansi ya hali ya hewa na msimu.
Gari haitaki sifa.
Gari haitaki janaba
Gari inataka ibada
Gari inataka sadaka[MADHABAHU]