Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

Baba yao alifariki ni Wanyia wa Mbozi hapo hata mwanzoni walikuwa na wafanyakazi wengi Watanzania sema pana mtoto mmoja kakulia Zambia mwingine Nakonde huyu wa Nakonde ana tabia za kibongo sana yule wa Zambia hawapendi Watanzania hata kwenye kupakia mizigo kipindi cha high season huwa anaangalia Uzambia mbele kuliko huyu Mwingine ila wamefauru sana kwenye kusafirisha mizigo kwa Truck na Bus hizo Scania zao wanachukua zilizo kwenye ubora saana mpaka zianze kusumbua sio leo...
Shukrani mkuu. Nafahamu wewe ni car enthusiast Nina swali kuhusu hii biashara ya transport hasa kwenye mabasi zile tela za mizigo zinazovutwa nyuma hasa intercape hata shalom pia bus zake baadhi zinavuta tela sasa mbona bongo hii kitu Haipo hata kama factor itakuwa ni distance mkuu. Kwenye malori tumeanza kuviona vitela vipisi
 
Saa nane usiku? Sasa hao abiria wanakuja saa ngapi stendi?
Bosi hiyo Shekilango mpka urafiki watu hawalali. Sauli anawasha gari saa nane kamili hapo watu washajaa ndani ya gari.
New force anatoka chanika saa Saba na abiria anakuja kuunga na wa hapo Ubungo Business Park. Chuma tatu zinatoka saa tisa hapo kwenda Tunduma, Mbeya na Sumbawanga. Hapo bado chuma za saa 11. Mbele ya Sauli kuna Katarama, Ally's, Mshikamano. Nyuma yao kuna Esther ya Arusha inatoka saa tisa usiku na ya Rombo kumi kamili. Pale Riverside Tilisho nane na arobaini usiku kashatoka Chanika kachukua abiria hapo river side yuko Bunju anaitafuta Bagamoyo kwenda Moshi. Wanazingatia muda kama misa ya kwanza vile uzuri ukimisi gari unakuja na nyuma yake wanafanya mafekele ukiongea vizuri.
Abiria anayetaka kusafiri mapema analala akiwa ktk gari.
 
Sauli alikuwa na gari saba, tatu kati ya hizo aliyemkopesha, yaani Scania pale Vingunguti wamezichukua. Nadhani ni kutokana na mambo ya kibiashar.

Sasa kabakiza gari nne, zinazotembea ni 3. Kwa hiyo hawezi kuwa na impact kama zamani. Haendi Tunduma..kabakiza Dar Mbeya.
Wewe uko sahihi.
Na DXE inapigwa stika mpyaa.
Ni huzuni sana
Mambo ya mikopo hayo na usimamizi...
 
Bosi hiyo Shekilango mpka urafiki watu hawalali. Sauli anawasha gari saa nane kamili hapo watu washajaa ndani ya gari.
New force anatoka chanika saa Saba na abiria anakuja kuunga na wa hapo Ubungo Business Park. Chuma tatu zinatoka saa tisa hapo kwenda Tunduma, Mbeya na Sumbawanga. Hapo bado chuma za saa 11. Mbele ya Sauli kuna Katarama, Ally's, Mshikamano. Nyuma yao kuna Esther ya Arusha inatoka saa tisa usiku na ya Rombo kumi kamili. Pale Riverside Tilisho nane na arobaini usiku kashatoka Chanika kachukua abiria hapo river side yuko Bunju anaitafuta Bagamoyo kwenda Moshi. Wanazingatia muda kama misa ya kwanza vile uzuri ukimisi gari unakuja na nyuma yake wanafanya mafekele ukiongea vizuri.
Abiria anayetaka kusafiri mapema analala akiwa ktk gari.
Nimeupenda huu ubunifu, hadi chanika kuna magari ya mikoani. Vipi hakuna yanayoanzia kigamboni?
 
Shukrani mkuu. Nafahamu wewe ni car enthusiast Nina swali kuhusu hii biashara ya transport hasa kwenye mabasi zile tela za mizigo zinazovutwa nyuma hasa intercape hata shalom pia bus zake baadhi zinavuta tela sasa mbona bongo hii kitu Haipo hata kama factor itakuwa ni distance mkuu. Kwenye malori tumeanza kuviona vitela vipisi
Nadhani kwenye Bus walikataza ndio maana Bus nyingi zilikua hazina zile Dengra kwa wanavyoziita kama wameruhusu kwenye Truck basi hata Bus wanaweza kuvuta sema kwa hapa ni ngumu kwa kuwa wanataka kukimbia sana na pia hawana mizigo mingi ya kuwalazimisha kuwa na Tela ingawaje huko tunakoenda watalazimika kuwa na Tela ila liwe Gari kweli maana kuvuta mzigo kwa Bus mbovu itakua tatizo kidogo...
 
Shukrani mkuu
 
Intercape
 
Attachments

  • FB_IMG_16959997064354916.jpg
    FB_IMG_16959997064354916.jpg
    62.2 KB · Views: 4
Back
Top Bottom