Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,576
Yeah ni biashara ambayo inaweza ikakuinua juu ndani ya muda mfupi na ikakutupa chini ndani ya muda mfupi piaKuna wadau wanasema biashara ya magari ni biashara kichaa hapa sasa nawaamini.
Kila mtu anataka ale tu,,hadi kampuni inajifia hivihivi Mmiliki unapata magonjwa ya moyo hivihivi.