No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,378
- 13,452
Serikali ina njia nying za kumuinua raia wake...hata hao wachina huwa wanapewa support na serikali yaoSio jukumu la serikali hilo mabenki yapo kibao akakope akuze mtaji
Serikali ina njia nying za kumuinua raia wake...hata hao wachina huwa wanapewa support na serikali yaoSio jukumu la serikali hilo mabenki yapo kibao akakope akuze mtaji
Jina analo ila bado hajamfikia NEW FORCESawà ila Mimi Na wewe hatujui sauli wamejipanga vipi pengine Wana mpango wa kushusha Gari mpya hatuwezi jua
Ila kuusu jina bado analo Na kwa ukanda wa Mbeya bado anakubalika Sana tu
Ngoja tuone itakuaje Kama atatupa taulo au la
Ikiwa nitaingia kwenye biashara ya bus kwa Sasa na nina mtaji ..naingia na mchina. Scania kwa Sasa zile za kisasa bei juu sana. Kurudisha mtaji ni muda mrefu.Hivi biashara ya mabus unanunuaje Scania show room utegemee faida labda Kama ni sufuria.sufuri ni mabus ya kuchonga body ambayo gharama haizidi milion 200.
Bongo hakuna watundu angalau Kenya kwa singa singa master fabrication anaemchongea Tameed bus zake
Biashara ya mabus cheza na mchina ndo utapata faida na kudumu kwenye game.
Abood angebakia kwenye masufuria yake angeshapotea kitambo kwenye game kama alivyopotea Hood.
Dar express asipohamia Kwa mchina nae anaenda potea mazima.
Mchina ni luxury na comfortability pamba na anarudisha Hela haraka.
Scania moja unapata Mchina mbili.
Durability itakusaidia nini wateja wanaangalia fashion
Hakuna kitu kama hichoSerikali ina njia nying za kumuinua raia wake...hata hao wachina huwa wanapewa support na serikali yao
Mchina anaweza piga miaka 3 nenda rudi mbeya? Sidhani, New force anapumzisha gari zake kwa sababu uwezo anao na siyo ubora wa gari zake.Mchina anarejessha faida haraka kuliko scania miaka 3 unapiga chini engine unafunga ya scania unaipeleka ruti za shamba,baada ya miaka 6 unalikata screpa.
Ukitaka durability scania unamrithisha mjukuu
Mchina anakupigia hadi graphics ya kampuni yako hukohuko kiwandani ukimpa orderIkiwa nitaingia kwenye biashara ya bus kwa Sasa na nina mtaji ..naingia na mchina. Scania kwa Sasa zile za kisasa bei juu sana. Kurudisha mtaji ni muda mrefu.
Chukua mchina kwa bei nafuu halafu unabeba abiria sawa na mwenye Scania G7. Mchina pia anakupa muonekano mzuri unaopendwa na abiria.
Hakuna haja ya kununua basi moja milioni 900 wakati kwa pesa hiyo napata walau units mbili za Chinese bus.
Kwanini unasema ni kichaa? Inaweza kuwa pengine hata hujawahi kuifanya. Mimi nadhani tatizo ni watanzania wengi kuingia kwenye biashara bila kufanya research ya kina bali kwa kufuata mkumbo. Na siyo mabasi tu. Ukiangalia biashara kama maduka, bars, hotels nk zinazofunguliwa na kufa ni nyingi pia. Biashara ya mabasi ikifa inakuwa noticeable kwa haraka na kwa watu wengi kwa sababu gari linatembea barabarani na linaonekana na wengi tofauti na duka ambalo sanasana watu wa mitaa ya karibu ndiyo wanaweza kujua.Biashara ya mabasi ni biashara kichaa. Scandinavia, Hood, Rungwe, Sumry, Royal nk zilikua household names ila yote yashajifia natural death. Sauli nae mwendo kaumaliza arudi kuchimba Chunya.
Yawezekana ila sauli bado inakubalika ukanda wa MbeyaJina analo ila bado hajamfikia NEW FORCE
Wanatangazia mabasi ya ZHONGTONGNew force ni kampuni ya promotion na mauzo ya viwanda vya mabus vya China
Watu hawaangilii kudumu kwa gari wanaangalia Hela kurudi harakaMchina anaweza piga miaka 3 nenda rudi mbeya? Sidhani, New force anapumzisha gari zake kwa sababu uwezo anao na siyo ubora wa gari zake.
Sauli angelikuwa na mchina angelipaki baada ya mwaka. Mchina hawezi pigishwa mwaka mzima DAR - Mbeya-DAR akabaki kwenye game
Umewahi kupanda NEW FORCE juzi kati mpaka wameandikiwa na trafiki abiria walijaa mpaka wengine wamekaa chini pale katikati ya seat za kushoto na kuliaYawezekana ila sauli bado inakubalika ukanda wa Mbeya
Maana kama unataka kusafiri kesho kwenda Mbeya ukienda kukata tiketi leo basi huwezi kukuta nafasi labda Kama unasafiri kesho kutwa
Kwaiyo sauli anajaza kabla ya safari
Hivyo ndivyo inatakiwa iwe. Serikali nyingi zinaanzisha investment banks kwa ajili ya kuwa support watu kama Saul. Hao wachina ukifuatilia kuna support nyuma yake.Hakuna kitu kama hicho
Mchina anakupa mwonekano mzuri? Au pengine inategemea body imeundiwa wapi!! Mbona kuna Scania na Benzi nzuri kuliko mchina mara kumi?Ikiwa nitaingia kwenye biashara ya bus kwa Sasa na nina mtaji ..naingia na mchina. Scania kwa Sasa zile za kisasa bei juu sana. Kurudisha mtaji ni muda mrefu.
Chukua mchina kwa bei nafuu halafu unabeba abiria sawa na mwenye Scania G7. Mchina pia anakupa muonekano mzuri unaopendwa na abiria.
Hakuna haja ya kununua basi moja milioni 900 wakati kwa pesa hiyo napata walau units mbili za Chinese bus.
Utarudishaje pesa haraka kwa chombo isiyodumu?Watu hawaangilii kudumu kwa gari wanaangalia Hela kurudi haraka
Tanzania hatuna mfumo huoHivyo ndivyo inatakiwa iwe. Serikali nyingi zinaanzisha investment banks kwa ajili ya kuwa support watu kama Saul. Hao wachina ukifuatilia kuna support nyuma yake.
Kampuni/ biashara nyingi nyuma huwa kuna serikali nyuma yake
Ukienda mikocheni na cash hio unachukua mbili Zhotong new model za m450 mbili anakupa na moja ya mkopo au unachukua za m300 tatu na moja ya mkopo.Ikiwa nitaingia kwenye biashara ya bus kwa Sasa na nina mtaji ..naingia na mchina. Scania kwa Sasa zile za kisasa bei juu sana. Kurudisha mtaji ni muda mrefu.
Chukua mchina kwa bei nafuu halafu unabeba abiria sawa na mwenye Scania G7. Mchina pia anakupa muonekano mzuri unaopendwa na abiria.
Hakuna haja ya kununua basi moja milioni 900 wakati kwa pesa hiyo napata walau units mbili za Chinese bus.