Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

Mkuu G7 polo na Gemilang kwa route ya mbeya -dar cha mtoto sana labda uniambie hizo mnazovua engine na gearbox
G7 anayo Shalom Bus zinatoka Lusaka mpaka Jhb kama 1500 Km ila zikifika Jhb naona mafundi wa Scania na vifaa vyao lazima ichekiwe sio hii inafika Mbeya wanacheki upepo tuu na tairi kesho irudi tena daslm hizo za Shalom Sauli kazikuta ila Sauli kazipaki wakati Shalom bado zipo road haya magari yanahitaji matunzo kweli sio ujanja ujanja..
 
Mkuu ungeweka na running cost ya hizo gari kwa mwaka ingelikuwa ni bora sana. Unaweza kuta scania anatumia kiasi kidogo sana kwenye matengenezo kwa mwaka kuliko mchina. Ila mchina kuwa road for 7 years haiwezekani labda awe branded na scania kwa baadhi ya vipuri
Mchina baada ya miaka 3 engine ikizungua Huwa wanafunga ya scania p series au 124 so inakuwa engine msweden body mchina.
Mchina anatumia Cummins engine, Cummins engine haifanyi vizur sana kwenye soko.
Thus wengine wanazing'oa zikianza kusumbua wanafunga engine ya scania.
Running cost zingine zipo sawa ukitoa ya mafuta, Cummins engine inatumia mafuta kidogo kuliko scania.
Cost zingine za uendeshaji nje ya spare hazipishani.
Spea za mchina zimejaa tele kwa Bei chini lakini Sio durable.
So mchina anauzia body na finishing ya Ndani ndicho abiria wanapenda
 
G7 anayo Shalom Bus zinatoka Lusaka mpaka Jhb kama 1500 Km ila zikifika Jhb naona mafundi wa Scania na vifaa vyao lazima ichekiwe sio hii inafika Mbeya wanacheki upepo tuu na tairi kesho irudi tena daslm hizo za Shalom Sauli kazikuta ila Sauli kazipaki wakati Shalom bado zipo road haya magari yanahitaji matunzo kweli sio ujanja ujanja..
Distance ya lusaka to jobegi ni mara tatu ya dar Mbeya.
Lazima ufanye service ya nguvu
 
Wabongo wakishasikia basi ni SCANIA wao wanachojua ni sifa za kijinga ile tupa geuka.

Utawasikia wapambe SCANIA inaweza ikapiga kazi hata siku tatu bila kuzima engine mwisho wa siku inawacost

Wiki ikiyopita Katarama na G7 zake akasikiliza maneno hayohayo ya wapambe akapiga tupa geuka kilichomkuta sasa hivi T 835 EBR imeanza mitago

Dar-Mwanza sio poa. Gari inahitaji service
 
Distance ya lusaka to jobegi ni mara tatu ya dar Mbeya.
Lazima ufanye service ya nguvu
Wanatunza magari ndio maana nimesema gari aliyonunua Shalom ipo hata Benz kama hilo la Sauli lipo road ila sauli zote kapaki kwa sababu ya kukosa matunzo sahihi ya gari pana Man Diesel moja ya Jordan ilikua inaenda SA waliacha kuitumia karibuni tuu hapa ila nayo ya kitambo kidogo ilikua na matunzo sahihi ila hapa kwetu ingechemsha kwa sababu ya kuruka Service..
 
Wabongo wakishasikia basi ni SCANIA wao wanachojua ni sifs za kijinga ile tupa geuka.

Mara sijui engine haijazimwa ina siku ya tatu mwisho wa siku inawacost

Wikii ikiyopita Katarama na G7 zake akasikiliza maneno hayohayo ya wapambe akapiga tupa geuka kilichomkuta sasa hivi T 835 EBR imeanza mitago
Salute kwako Mkuu unayajua magari...
 
Mchina ana booster kwenye bumps anapita na 120 kama traffic hayupo,scania utakata spring kwa speed hio kwenye bumps.
Abiria hawasikii mashimo hata ukae siti ya nyuma sababu ya booster, Scania ni lazima uende juu urudi chini.
Body ya Mchina nyepesi mizani,pili hata ikipata ajali madhara ni machache sababu body inakubali kubonyea body ikibonyea inapunguza ile pressure sababu inakuwa haina kizuizi tofaut na body ikiwa ngumu ajali ikitokea wengi usagika kwa sababu ile compact yaan mgandamizo wa unakosa sehemu ya kupumulia so abiria upata madhara makubwa
 
Wanatunza magari ndio maana nimesema gari aliyonunua Shalom ipo hata Benz kama hilo la Sauli lipo road ila sauli zote kapaki kwa sababu ya kukosa matunzo sahihi ya gari pana Man Diesel moja ya Jordan ilikua inaenda SA waliacha kuitumia karibuni tuu hapa ila nayo ya kitambo kidogo ilikua na matunzo sahihi ila hapa kwetu ingechemsha kwa sababu ya kuruka Service..
Service, madereva professional,mwendo wa kawaida sababu zinavuta tela la mizigo.
Jordan za south zinafika hadi Tunduma.
Pana mbongo kaleta engine nyuma za Ubungo to south Africa, mazingira ya bongo engine nyuma zimefeli nyingi kwa sababu ya joto na matunzo zikiwemo daladala za mbagala.
 
Hakuna tajiri anaweza shindana na new force kwa vyuma bongo.
New force ni kampuni ya promotion na mauzo ya viwanda vya mabus vya China zile zinatembea huku zipo sokoni ukifika Bei unauziwa thus anawapa sana headache matajiri wa mabus bongo, huwezi ukashindana na viwanda vinavyofyatua matoleo mapya.
Na abiria wanafata kitu kipya kitu kizuri.
Hao new force zamani madereva wao walikuwa wachina walikuwa hawapati ajali ,sema sheria za nchi tu ndo zinawabana madereva lazima, wawe wabongo.
Walitamani madereva wao professional toka China ndio wazipelekee moto, sheria inawabana
Mbona mwanza na kahama hawana route...?
 
G7 anayo Shalom Bus zinatoka Lusaka mpaka Jhb kama 1500 Km ila zikifika Jhb naona mafundi wa Scania na vifaa vyao lazima ichekiwe sio hii inafika Mbeya wanacheki upepo tuu na tairi kesho irudi tena daslm hizo za Shalom Sauli kazikuta ila Sauli kazipaki wakati Shalom bado zipo road haya magari yanahitaji matunzo kweli sio ujanja uj

G7 anayo Shalom Bus zinatoka Lusaka mpaka Jhb kama 1500 Km ila zikifika Jhb naona mafundi wa Scania na vifaa vyao lazima ichekiwe sio hii inafika Mbeya wanacheki upepo tuu na tairi kesho irudi tena daslm hizo za Shalom Sauli kazikuta ila Sauli kazipaki wakati Shalom bado zipo road haya magari yanahitaji matunzo kweli sio ujanja ujanja..
Upo sahihi mkuu. Matunzo kwenye hizi machine ndio kila kitu. Shalom hatari sana na mwenzake intercape kwao irizar in za kumwaga kama abood alivyomwaga Zhongtong zake
 
Mbona mwanza na kahama hawana route...?
New Force alikuwa na mabasi Dar-Kahama miaka ya nyuma zilikaa kidogo akaziondoa na ishu iliyomwangusha ni ma-agent

Hii biashara ina utawala wa kikanda ujue ikitegemea agents uliowapata

Ni sawa na kuuliza mbona Ally's Star ana mabasi mengi kanda ya ziwa lakini hana route za Mbeya, Iringa, au Songea

Hii biashara ina vipengele vyake usione kwanini Abood amekomaa na Moro au Shabiby na Dodoma agents wanahusika sana
 
Back
Top Bottom