ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Sauli amerudi kwenye kitaulo?
Ametupa kitauloSauli amerudi kwenye kitaulo?
Usikute wewe ndio tajiri mwenyewe. Maana hii JF bwana!Za chini mwamba toka chunya anarudi na vyuma vipyaaa 6 na nyuma wanasema ataandika " fuata maelekezo"
CRDB !!!!View attachment 2764966
Sauli laxury imetoweka? Mbona barabarani hazionekani? Mwenye taarifa atusaidie.
Hizi scania ni kama utambulisho wa Nyanda za Juu Kusini hasa Mbeya.
Nini kumetokea?
Hana ujanja nje ya kitaulo huyoAmetupa kitaulo
Mambo sio poa amkabidhi kijiti Achimwene ashindane na New ForceHana ujanja nje ya kitaulo huyo
Kumshinda newforce ni kazi kweli kweliMambo sio poa amkabidhi kijiti Achimwene ashindane na New Force
Hakuna anayemuweza New Force route ya Dar-Mbeya-TundumaKumshinda newforce ni kazi kweli kweli
Hao jamaa mara ya mwisho kuleta mabasi mapya kitambo sanaColor star Iko wapi
Hii point yako sio sahihi scania zikose booster halafu mchina awe awe nazo?Mchina ana booster kwenye bumps anapita na 120 kama traffic hayupo,scania utakata spring kwa speed hio kwenye bumps.
Abiria hawasikii mashimo hata ukae siti ya nyuma sababu ya booster, Scania ni lazima uende juu urudi chini.
Body ya Mchina nyepesi mizani,pili hata ikipata ajali madhara ni machache sababu body inakubali kubonyea body ikibonyea inapunguza ile pressure sababu inakuwa haina kizuizi tofaut na body ikiwa ngumu ajali ikitokea wengi usagika kwa sababu ile compact yaan mgandamizo wa unakosa sehemu ya kupumulia so abiria upata madhara makubwa
ChaiZa chini mwamba toka chunya anarudi na vyuma vipyaaa 6 na nyuma wanasema ataandika " fuata maelekezo"
Sauli Kuna wakati nilimpanda alifuatiliwa Toka Dar es Salaam mpaka tunakaribia Chimala nadhani akasimamishwa na kuambiwa amefanya makosa zaidi ya 69 ya barabarani...! Nikashangaa sana hawa waliokuwa wanamfuatilia ya aani walitaka basi aliweke kwenye mtaro!!!Siku hizi kuna Achimwene naona ndio anatamba sana. Japo Sauli naye namuona sana ila sio kama Achimwene
Kuwa na kampuni sio swala dogo linahitaji menejiment iliyopangika na inayojielewa.
Scania ama Yutong kinachofanya isirushe kwenye matuta ni zile tairi za nyuma mojamoja kushoto na kulia wanaita TeliyaziHii point yako sio sahihi scania zikose booster halafu mchina awe awe nazo?
Scania standard zao ni za viwango sana. At least kwenye uzito mzani naweza kukuelewa.
Umemsahau Super feo sijapendaHuyu ABOOD apewe maua yake mzoefu sana.
Akina Sauli wanakimbilia kukopa SCANIA pale SAAB SCANIA ambapo faida inachelewa
Wakongwe akina ABOOD wameusoma mchezo wameachana na Msweden ni mwendo wa Mchina YUTONG
Juzi kashusha kifurushi cha YUTONG F12+upgrade vyuma viko dozen net (mabasi 12), E series
View attachment 2765251
Jinsi Abood, Shabiby, BM, Tilisho, Happy Nation, Ally's, New Force, Kimbinyiko, ABC walivyo na vyuma vingi barabarani wanaweza kukufanya uhisi hii biashara rahisi sana lakini kwa ground mambo si kama tunavyohisi
Hahahahaha nacheka kama mazuriBiashara ya mabasi ni biashara kichaa. Scandinavia, Hood, Rungwe, Sumry, Royal nk zilikua household names ila yote yashajifia natural death. Sauli nae mwendo kaumaliza arudi kuchimba Chunya.
Katarama ili adumu kwenye game aongezee gari walau apate muda wa kupumzisha mashine na service ya uhakika. Ila hii ya kila siku upo road inafanya back up ikosekane vyuma vikizingua.Mkuu unasemaje kuhusu Katarama naye anasumbua route ya Mwanza kwa sasa na Scania zake.
Tumwongeze kwenye list, mkali wa Songea heshima kwakeUmemsahau Super feo sijapenda
Mhaya anapenda sifa anataka zote ziwe G7 tupuKatarama ili adumu kwenye game aongezee gari walau apate muda wa kupumzisha mashine na service ya uhakika. Ila hii ya kila siku upo road inafanya back up ikosekane vyuma vikizingua.
Aongezee hata Zhongtong....si unaona Happy nation anatesa na zile Zhongtong za Darlux?