Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

Tatizo Achimwene kivipi Sasa,
Akati yeye mwenyewe Ana Gari nne tu
Tena sauli bado Ana jina kuliko uyo Achimwene kila siku sauli anajaza, Na Mbeya ndo wakwanza kuingia kuliko New force na Achimwene labda tatizo sauli hajaleta Gari mpya tu ila sio Kama kazidiwa Na Achimwene kwa jina au Abiria.

Achimwene kwa sasa anaaminika na kupendwa kuliko Sauli...
 
View attachment 2764966

Sauli laxury imetoweka? Mbona barabarani hazionekani? Mwenye taarifa atusaidie.

Hizi scania ni kama utambulisho wa Nyanda za Juu Kusini hasa Mbeya.

Nini kumetokea?
Wana gari bovu
Trip moja barabarani,kumi garage


Ukijichanganya kukata ticket hakuna magari,mnafaulishwa gari la ajabu na mtagonganishwa siti.

Ombea tu uotee kukata ticket siku ambayo lipo barabarani.

Inshort wamekuwa kama matapeli.
 
Ni kama hawa wazee wa Morogoro walivyotoweka barabarani sadiqe line, Islam na hood.


Na wengine weengi tu kama kaswele, No challenge, scandinavia.

Kila enzi na zama zake "heydays"
Noma sana ila Hood zilikua Bus nzuri sana, natamani siku arudi kwenye game Hood
 
Dar lux nae kaingia mitini.
Hii biashara inataka uwe na akili kama ya kuku kama alivyo zuberi, new force.
Abiria wanaangalia luxuries and comfortability yaani Ndege ya chini unatoka safari hakuna hata vumbi Sasa kwa Scania anaemfikia viwango vya mchina si chini ya bilioni moja Macopolo G7 ambayo bongo hailipi.
Kwahiyo tumuhesabie siku katarama sio
 
Biashara ya mabasi ni biashara kichaa. Scandinavia, Hood, Rungwe, Sumry, Royal nk zilikua household names ila yote yashajifia natural death. Sauli nae mwendo kaumaliza arudi kuchimba Chunya.
Ni ipi biashara isiyo kichaa?
 
Alikuwa na kesi huyo zimeanza kupigwa mnada

Hii T 548 DWL ilikuwa mali ya Sauli imepigwa mnada aliyenunua kaipa jina Tembo Safaris

SAAB SCANIA wameanza kuchukua vyuma vyao
View attachment 2765244
Jamaa mbabaishaji anayumbaje na soko kaliteka,pamoja na kubaki na mbili bado abiria wanazigombania sijui anakwama wapi!
 
Hivi biashara ya mabus unanunuaje Scania show room utegemee faida labda Kama ni sufuria.sufuri ni mabus ya kuchonga body ambayo gharama haizidi milion 200.
Bongo hakuna watundu angalau Kenya kwa singa singa master fabrication anaemchongea Tameed bus zake
Biashara ya mabus cheza na mchina ndo utapata faida na kudumu kwenye game.
Abood angebakia kwenye masufuria yake angeshapotea kitambo kwenye game kama alivyopotea Hood.
Dar express asipohamia Kwa mchina nae anaenda potea mazima.
Mchina ni luxury na comfortability pamba na anarudisha Hela haraka.
Scania moja unapata Mchina mbili.
Durability itakusaidia nini wateja wanaangalia fashion
Mchina hana comfortability yoyote kwenye tuta kama umepanda suzuki samurai.
 
Vyumaaa vingi alipatakuwa navyo Hood bwana na route zake ndefu saana Nairobi, Kampala, Zambia, Tunduma ila leo hata kumbulimbu lake katika barabara halipo.

Wanaodhani wameseimama sasa wajikague sana wasiangukee!!

Ila BM aka Makundi amehasso sana huyu kitambo saaana hadi hadi leo anasomeka kwa ramani.
Hood hajawahi kuwa na route ya zambia,ruti yake ndefu ilikuwa arusha-mbeya.
 
Back
Top Bottom