Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,912
DWL 548 ishakwenda kwa Tembo SafarisIliouzwa ni ipi mkuu DWF, DWL au lile polo G7?
DWL 548 ishakwenda kwa Tembo SafarisIliouzwa ni ipi mkuu DWF, DWL au lile polo G7?
uwe hodari mwananguView attachment 2764966
Sauli laxury imetoweka? Mbona barabarani hazionekani? Mwenye taarifa atusaidie.
Hizi scania ni kama utambulisho wa Nyanda za Juu Kusini hasa Mbeya.
Nini kumetokea?
Basi zake zimechoka vibaya mno anapotea muda si mrefu.Rungwe bado yupo
Ni kama hawa wazee wa Morogoro walivyotoweka barabarani sadiqe line, Islam na hood.View attachment 2764966
Sauli laxury imetoweka? Mbona barabarani hazionekani? Mwenye taarifa atusaidie.
Hizi scania ni kama utambulisho wa Nyanda za Juu Kusini hasa Mbeya.
Nini kumetokea?
Nazijua zile lakini hazifiki kwa Mchina mfano Higher,au Zhotong new model finishing ya Ndani.Mbona nasikia superfeo mkongwe na ana scania namba E.
Kwa hesabu ya lifetime ya gari, scania ni cheaper kuliko mchina. Tatizo hapo nadhani ni know how ya hiyo biashara/ management na siyo aina ya bus.Hivi biashara ya mabus unanunuaje Scania show room utegemee faida labda Kama ni sufuria.sufuri ni mabus ya kuchonga body ambayo gharama haizidi milion 200.
Bongo hakuna watundu angalau Kenya kwa singa singa master fabrication anaemchongea Tameed bus zake
Biashara ya mabus cheza na mchina ndo utapata faida na kudumu kwenye game.
Abood angebakia kwenye masufuria yake angeshapotea kitambo kwenye game kama alivyopotea Hood.
Dar express asipohamia Kwa mchina nae anaenda potea mazima.
Mchina ni luxury na comfortability pamba na anarudisha Hela haraka.
Scania moja unapata Mchina mbili.
Super Feo ana Scania, Zhongtong na YutongMbona nasikia superfeo mkongwe na ana scania namba E.
Kuna trans Africa ya mwanza nilizionaga miaka ya 90s zikapoteaMohamed Trans na Mombasa Raha
Tatizo Achimwene kivipi Sasa,Tatizo ni Achimwene
DWL Kanunua tembo safariIliouzwa ni ipi mkuu DWF, DWL au lile polo G7?
Tatizo sio kuwa wa kwanza kwenye mikeka ya wanazi.Tatizo Achimwene kivipi Sasa,
Akati yeye mwenyewe Ana Gari nne tu
Tena sauli bado Ana jina kuliko uyo Achimwene kila siku sauli anajaza, Na Mbeya ndo wakwanza kuingia kuliko New force na Achimwene labda tatizo sauli hajaleta Gari mpya tu ila sio Kama kazidiwa Na Achimwene kwa jina au Abiria.
Mchina anarejessha faida haraka kuliko scania miaka 3 unapiga chini engine unafunga ya scania unaipeleka ruti za shamba,baada ya miaka 6 unalikata screpa.Kwa hesabu ya lifetime ya gari, scania ni cheaper kuliko mchina. Tatizo hapo nadhani ni know how ya hiyo biashara/ management na siyo aina ya bus.
Probably kahamua ku default mkopo ili atoke kwenye hiyo biashara.
Kuanzisha biashara huwa siyo shida sana, ila kuiendeleza biashara ndiyo mzozo. Biashara zote zina ups and downs. Usipojiandaa kwenye downs unaweza usirejee tena kwenye biashara
Sio jukumu la serikali hilo mabenki yapo kibao akakope akuze mtajiKwanza tumpe pole kwa changamoto...
Japo najua wengi wanapokea habari hizi kwa furaha..
Lakini jamaa kajitahidi sana, serikali pia ingesupport watu kama hawa
Kikubwa tusiogope kujaribu
Vyumaaa vingi alipatakuwa navyo Hood bwana na route zake ndefu saana Nairobi, Kampala, Zambia, Tunduma ila leo hata kumbulimbu lake katika barabara halipo.Huyu ABOOD apewe maua yake mzoefu sana.
Akina Sauli wanakimbilia kukopa SCANIA pale SAAB SCANIA ambapo faida inachelewa
Wakongwe akina ABOOD wameusoma mchezo wameachana na Msweden ni mwendo wa Mchina YUTONG
Juzi kashusha kifurushi cha YUTONG F12+upgrade vyuma viko dozen net (mabasi 12), E series
View attachment 2765251
Jinsi Abood, Shabiby, BM, Tilisho, Happy Nation, Ally's, New Force, ABC walivyo na vyuma vingi wanaweza kukufanya uhisi hii biashara rahisi sana lakini kwa ground mambo si kama tunavyohisi
Wakurugenzi wa mabasi wana sonona sana. Tusione tu vyuma barabarani mambo kwa ground sio poaNilianzishaga kikampuni cha magari madogo ya mizigo kikawa kinafanya vizuri. Nilipoingia kwenye kusafirisha abiria nikafilisika ndani ya miezi mitatu.
Biashara ya mabasi konyoo!
Hakuna tajiri anaweza shindana na new force kwa vyuma bongo.Tatizo sio kuwa wa kwanza kwenye mkeka.
Huyu mwamba Sauli ameshaanza kutupa kitaulo SAAB SCANIA wameanza kupiga mnada vyuma vyake marejesho yamemshinda
Hao akina New Force wanampanikisha na mibio mwenzake New Force ana mabasi zaidi ya 30.
Miezi kadhaa iliyopita New Force kashusha E series mpya Zhongtong mega, biashara yataka akili
Abood mkongwe tangu 1980's yuko barabarani, HOOD alimkuta kwenye game kajifia mwamba bado anakimbizaVyumaaa vingi alipatakuwa navyo Hood bwana na route zake ndefu saana Nairobi, Kampala, Zambia, Tunduma ila leo hata kumbulimbu lake katika barabara halipo.
Wanaodhani wameseimama sasa wajikague sana wasiangukee!!
Ila BM aka Makindi amehusso sana huyu kitambi saaana hadi hadi leo anasomeka kwa ramani.
Sawà ila Mimi Na wewe hatujui sauli wamejipanga vipi pengine Wana mpango wa kushusha Gari mpya hatuwezi juaTatizo sio kuwa wa kwanza kwenye mikeka ya wanazi.
Huyu mwamba Sauli ameshaanza kutupa kitaulo SAAB SCANIA wameanza kupiga mnada vyuma vyake marejesho yamemshinda
Hao akina New Force wanampanikisha na mibio mwenzake New Force ana mabasi zaidi ya 30.
Miezi kadhaa iliyopita New Force kashusha E series mpya Zhongtong mega, biashara yataka akili