Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,990
8,367
Screenshot 2023-09-28 131014.png


Sauli laxury imetoweka? Mbona barabarani hazionekani? Mwenye taarifa atusaidie.

Hizi scania ni kama utambulisho wa Nyanda za Juu Kusini hasa Mbeya.

Nini kumetokea?
 
Sauli alikuwa na gari saba, tatu kati ya hizo aliyemkopesha, yaani Scania pale Vingunguti wamezichukua. Nadhani ni kutokana na mambo ya kibiashara.

Sasa kabakiza gari nne, zinazotembea ni 3. Kwa hiyo hawezi kuwa na impact kama zamani. Haendi Tunduma..kabakiza Dar Mbeya.
 
Sauli laxury imetoweka? Mbona barabarani hazionekani


Mwenye taarfa


Hizi scania ni km utambulisho wa nyanda za juu kusini hasa mbeya

Nini kumetokea?
Biashara ilikua nzuri sana akawa na Bus 7 ila 3 kati ya hizo zikachukuliwa na Scania ( zilikua ni za mkopo) na 4 zilizobaki 2 tu ndio zinatembea na 2 nyingine ni mbovu zimepaki mbeya takribani miezi 2+ sasa

Ila Daily yupo road kwa bus mbili zinapishana Mbeya Dar Mbeya
 
Back
Top Bottom