Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,351
- 30,756
Nimekuuliza swali jepesi tu ila limekushinda kujibu
Biashara ya kuuza mitumba.
Nimekuuliza swali jepesi tu ila limekushinda kujibu
Hiyo nayo ina changamoto mnoBiashara ya kuuza mitumba.
Umasikini nikama ushetaniWaafrika sijui tukoje wenze
tu mzawa analindwa ila sisi wageni ndio hupewa kipaumbele.Yaani uwe china halafu ulindwe kuliko mchina thubutu sana sana utapotezwa.Kuna mijitu haifurahii sauli kufurukuta dhidi ya new force!
Huko mchina haendi na kurudi anapumzika siku moja na maisha yake si marefuMbeya ni mbali kuliko bukoba,kigoma,mwanza na musoma mbona kuna michina kibao
Hapana si roho.Hiyo sadaka unamaanisha nini?
au kusepa na roho za watu!
Ni kweli Scania zipo durable sana huwa naona Marcopolo za Abood tangu 2007 bado zipo njiani hadi leoUkitaka
Hizi ni kabla ya 2007 mkuu nadhani ni 2005 hivi. Nakumbuka enzi hzo nikisoma o'level morogoro shule ilikuwa ikitukodia ndio zilikuwa mpya.Ni kweli Scania zipo durable sana huwa naona Marcopolo za Abood tangu 2007 bado zipo njiani hadi leo
Ni kweli yalikuja awamu kama mbili ila nakumbuka nilipanda brand new bus zikiwa hazijachanwa makaratasi ya siti 2007 zilikuwa zinatumia 2hrs net Msamvu - Ubungo TerminalHizi ni kabla ya 2007 mkuu nadhani ni 2005 hivi. Nakumbuka enzi hzo nikisoma o'level morogoro shule ilikuwa ikitukodia ndio zilikuwa mpya.
Kuna moja kauza juzi kati, niliona kwenye mitandao ya mabasi ya southern highlands.
Marcopolo za Abood zipo njia ipi mpk leo.?Ni kweli Scania zipo durable sana huwa naona Marcopolo za Abood tangu 2007 bado zipo njiani hadi leo
Nadhani hiyo DWL ndiyo imekuwa tembo asa hiviIliouzwa ni ipi mkuu DWF, DWL au lile polo G7?
Wewe umefanya research khs biashara gani na unafanya biashara gani mpk sasa?Kwanini unasema ni kichaa? Inaweza kuwa pengine hata hujawahi kuifanya. Mimi nadhani tatizo ni watanzania wengi kuingia kwenye biashara bila kufanya research ya kina bali kwa kufuata mkumbo. Na siyo mabasi tu. Ukiangalia biashara kama maduka, bars, hotels nk zinazofunguliwa na kufa ni nyingi pia. Biashara ya mabasi ikifa inakuwa noticeable kwa haraka na kwa watu wengi kwa sababu gari linatembea barabarani na linaonekana na wengi tofauti na duka ambalo sanasana watu wa mitaa ya karibu ndiyo wanaweza kujua.
Ila zile bus za msukuma hua Ni mkangafu haswaaaaa.Ni mara ngapi unasikia household names kwenye biashara fulani zinakufa? Ni hotels ngapi au maduka mangapi makubwa on the par na kampuni kama Scandinavia, Hood au Sumry zimekufa?
Kwamba Scandinavia na hood hawakufanya research vizuri? Hadi leo hakuna basi linafikia Scandinavia kwa ubora wa huduma, hawa ndo walikua game changer. Kipindi kile ilikua bora upande hili basi kuliko ndege if you had that choice. Mtu unawaza likizo ifike upande Scandinavia uende mikoani na lilikua linapendeza kweli kweli na mwendo mzuri ila lilikufa kifo cha mende.
Dar express nasikia inapumulia machine, Mbunge Msukuma aliuza basi zake karibu zote. The list is endless mkuu, the writing is on the wall, hii ni biashara kichaa.
...Yaani Hela Zote za nauli alizokuwa alipata Kila siku, alikuwa Halipi Mikopo ?? [emoji848][emoji848]Biashara ilikua nzuri sana akawa na Bus 7 ila 3 kati ya hizo zikachukuliwa na Scania ( zilikua ni za mkopo) na 4 zilizobaki 2 tu ndio zinatembea na 2 nyingine ni mbovu zimepaki mbeya takribani miezi 2+ sasa
Ila Daily yupo road kwa bus mbili zinapishana Mbeya Dar Mbeya
...Inakuwa Madeni, au Matumizi kupitiliza Hadi wanashindwa Kulipa Mikopo ya Mabasi wanayochukua ?? Ni Nini ?Biashara ya mabasi ni biashara kichaa. Scandinavia, Hood, Rungwe, Sumry, Royal nk zilikua household names ila yote yashajifia natural death. Sauli nae mwendo kaumaliza arudi kuchimba Chunya.
O.P.Wewe umefanya research khs biashara gani na unafanya biashara gani mpk sasa?
Walk the talk.O.P.
Katarama ana umri gani sokoni?Mwisho wa maelezo ni hawa waarabu (Abood, shabiby, Ratco) kwa Tanzania bado sijaona wa kuwafikia, kwa kanda yetu ya Ziwa ni (Allys, frester na katarama) wapo vizuri