Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

Alikuwa na kesi huyo zimeanza kupigwa mnada

Hii T 548 DWL ilikuwa mali ya Sauli imepigwa mnada aliyenunua kaipa jina Tembo Safaris

SAAB SCANIA wameanza kuchukua vyuma vyao
20230928_193013.jpg
 
SAULI mtaji mdogo alibugi Scania G7 na Benz bei mbaya wenzie wananunua Yutong wanavua Engine-Gearbox ya Mchina wanafunga kinu Scania Engine-Gearbox used mwendo mdundo
Wahuni walimchomesha mahindi safari ya Mbeya/Dar es salaam ni mbali sana kwa kila siku inatakiwa gari Jiwe kweli sio hizo walizompa ushauri hapo mwanzo...
 
Biashara ya mabasi ni biashara kichaa. Scandinavia, Hood, Rungwe, Sumry, Royal nk zilikua household names ila yote yashajifia natural death. Sauli nae mwendo kaumaliza arudi kuchimba Chunya.
Huwa wanakurupuka wakishapiga mawe wanakurupukia kwenye mabus ili kupata sifa na kuuza sura.
A good investor hawezi weka pesa yake kwenye mabus.
 
Biashara ya mabasi ni ya kupokezana. Usije kushangaa hata Abood huko mbele ya safari akaachana nayo
Huyu ABOOD apewe maua yake mzoefu sana.

Akina Sauli wanakimbilia kukopa SCANIA pale SAAB SCANIA ambapo faida inachelewa

Wakongwe akina ABOOD wameusoma mchezo wameachana na Msweden ni mwendo wa Mchina YUTONG

Juzi kashusha kifurushi cha YUTONG F12+upgrade vyuma viko dozen net (mabasi 12), E series
20230928_193415.jpg

Jinsi Abood, Shabiby, BM, Tilisho, Happy Nation, Ally's, New Force, Kimbinyiko, ABC walivyo na vyuma vingi barabarani wanaweza kukufanya uhisi hii biashara rahisi sana lakini kwa ground mambo si kama tunavyohisi
 
Hivi biashara ya mabus unanunuaje Scania show room utegemee faida labda Kama ni sufuria.sufuri ni mabus ya kuchonga body ambayo gharama haizidi milion 200.
Bongo hakuna watundu angalau Kenya kwa singa singa master fabrication anaemchongea Tameed bus zake
Biashara ya mabus cheza na mchina ndo utapata faida na kudumu kwenye game.
Abood angebakia kwenye masufuria yake angeshapotea kitambo kwenye game kama alivyopotea Hood.
Dar express asipohamia Kwa mchina nae anaenda potea mazima.
Mchina ni luxury na comfortability pamba na anarudisha Hela haraka.
Scania moja unapata Mchina mbili.
Durability itakusaidia nini wateja wanaangalia fashion
 
Dar lux nae kaingia mitini.
Hii biashara inataka uwe na akili kama ya kuku kama alivyo zuberi, new force.
Abiria wanaangalia luxuries and comfortability yaani Ndege ya chini unatoka safari hakuna hata vumbi Sasa kwa Scania anaemfikia viwango vya mchina si chini ya bilioni moja Macopolo G7 ambayo bongo hailipi.
 
Hivi biashara ya mabus unanunuaje Scania show room utegemee faida labda Kama ni sufuria.sufuri ni mabus ya kuchonga body ambayo gharama haizidi milion 200.
Bongo hakuna watundu angalau Kenya kwa singa singa master fabrication anaemchongea Tameed bus zake
Biashara ya mabus cheza na mchina ndo utapata faida na kudumu kwenye game.
Abood angebakia kwenye masufuria yake angeshapotea kitambo kwenye game kama alivyopotea Hood.
Dar express asipohamia Kwa mchina nae anaenda potea mazima.
Mchina ni luxury na comfortability pamba na anarudisha Hela haraka.
Scania moja unapata Mchina mbili.
Mbona nasikia superfeo mkongwe na ana scania namba E.
 
Back
Top Bottom