Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

Achange tu karata zake vizuri.

Hivi hawa matajiri huwa hawawasiliani kupamba mbinu,mbona wanamuacha mwenzao anapotea hivihivi.

Nani anafahamu kuhusu Hekima,JM , na Color Star?
Walienda wapi?
Zilikuwa bus nzuri sana Color Star kitambo sana 2015 lilikuwa kwenye
Fitna za matajiri ndioo haohao ukaombe ushauri kweli
 
Wanamuita Boss Amran yuko vizuri
Kama hivi
IMG_20240205_201318.jpg
 
Sauli anahamia kwenye gari za mizigo biashara ya basi naona kanyoosha mikono

Wakati wa magufuli ndio biashara ya basi zilinawiri acha kupotosha

Niliona una coment kwa akili timamu kumbe nawe ni mjinga umejaa ushabiki
Huyu mwamba Sauli kafirisika kwenye mabasi ila alichofanyiwa na jiwe sio poa
 
Sauli anahamia kwenye gari za mizigo biashara ya basi naona kanyoosha mikono

Wakati wa magufuli ndio biashara ya basi zilinawiri acha kupotosha

Niliona una coment kwa akili timamu kumbe nawe ni mjinga umejaa ushabiki
Ishu yake na Jiwe hata haikuhisiana na mabasi mjinga wewe

Ilihusiana na biashara yake ya madini
 
Shabiby mbona mbeya alijaribu

Alikutana na wababe wenye njia akayakimbiza mabati yake ya kichina
Ngoja tuone Imani naye kama ataweza kujikaza,ama atasalimu amri kama mwenzie Sauli.
Ujanja ujanja ulizidi wakawa kama matapeli,katisha tiketi na wanajua gari halipo.

New force ana gari nyingi sana,kushindana naye ni ngumu.

Naona Achimwene naye ana moto balaa
Sijui anazo ngapi
Niliziona nyingi nyingi sana.

ABC anaweza akasurvive maana tayari yupo kwenye game kitambo,japo hakuwa route hii sumbufu.

Shabiby sijui kwanini hataki kuingiza bus zake kwenye hii route.
 
Sasa bwana mdogo unanibishia mimi?

Sauli mpaka kesho km unafahamiana naye muulize kuwa muda gani alitengeneza pesa toka aanze biashara

Atakwambia kipindi cha magufuli ilikuwa neema kwake

Sasa wewe unaleta uzushi na uongo

Lini Bwana sauli akaenda chamwino? Wewe kijana ukizeeka utakuwa mchawi

Niliona toka uzi uanze umepotosha sana mambo mengi

Jinga sana wewe

Naona kwako kina abood ndio wema kwako kwasababu huwa unafagia ule mchanga pale shekilango na kumpelekea boss wako
Ishu yake na Jiwe hata haikuhisiana na mabasi mjinga wewe

Ilihusiana na biashara yake ya madini
 
Sasa bwana mdogo unanibishia mimi?

Sauli mpaka kesho km unafahamiana naye muulize kuwa muda gani alitengeneza pesa toka aanze biashara

Atakwambia kipindi cha magufuli ilikuwa neema kwake

Sasa wewe unaleta uzushi na uongo

Lini Bwana sauli akaenda chamwino? Wewe kijana ukizeeka utakuwa mchawi

Niliona toka uzi uanze umepotosha sana mambo mengi

Jinga sana wewe

Naona kwako kina abood ndio wema kwako kwasababu huwa unafagia ule mchanga pale shekilango na kumpelekea boss wako
Unajua sababu ya Sauli kuhamia Dar?
 
Achange tu karata zake vizuri.

Hivi hawa matajiri huwa hawawasiliani kupeana mbinu,mbona wanamuacha mwenzao anapotea hivihivi.

Nani anafahamu kuhusu Hekima,JM luxury coach, na Color Star?
Walienda wapi?
Zilikuwa bus nzuri sana Color Star kitambo sana 2015 lilikuwa kwenye peak.
Color star zilikuwa za wachina , walikuwa na gari chache hawakujipanga, nishapanda Mbeya dsm, ila badae likaanza kupotea mdogo mdogo, JM luxury nae ivyo ivyo alichelewa kihamia Zhong tong nae akapotea mdogo mdogo,
Green star Hawa walikuwa wanatumia office za scandnavia nao ivyo ivyo wakapotea..
New force ni mjanja alikuwa na gari chache za kipindi anaanza aina ya yotong mwaka 2012, 2013 akamimina vyuma vipya aina ya ZHONG TONG,
 
Colour star yupo mpaka Leo. Anaenda Tabora Dar, sema hajawahi kuongeza gari.
 
Scania moja unapata Mchina mbili moja nyongeza ya mkopo,
Wakati wakat scania anajaza siti 60 mchina anajaza mara tatu ya siti hizo yaaani 180 kwa nauli sawa.
Zikipishana mbili zinaendana moja inarudi.
Ndani ya mwaka Hela ya Mchina imerudi Scania utasubiria miaka sita au Tisa ndipo pesa irudi.
Biashara ya malori chukua scania ya mabus chukua mchina
acha uongo mkuu unachukulia poa bei ya mchina eeh
 
Duuh! Punguza chumvi kidogo
Yaani scania inachukua miaka 6-9 kurudisha pesa?
Basi Akina superfeo,katarama Nacharo Na zuberi wasingenunua izo scania
Mchina anachomzidi scania Ni kwenye interior design basi.
scania anatengeneza chasis tu,hatengenezu mabasi hasa kwa huu mfumo wa engine mbele na hizi scania za sasa hivi F310,F360 service yake ni gharama sana kwasababu yanatumia umeme mwingi tofauti na 94.fatilia wenye hizo gari wengi mkataba wa service ukifika mwisho pale scania wakianza kuzitengeneza wenyewe huwa wanapotea
 
Back
Top Bottom