Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
SAULI T 300 DRH limekatiwa Bima hauwezi hata kununua Tairi ya basi unategemea kwanini lisitembee bila magurudumu? Kunakazi sana hapa 🤣🤣🤣🤣
SAULI T 300 DRH limekatiwa Bima hauwezi hata kununua Tairi ya basi unategemea kwanini lisitembee bila magurudumu? Kunakazi sana hapa 🤣🤣🤣🤣
Alafu mchina kwenywe umafuta , anatumia kidogo kushinda mswedenUnakuta route moja nauli ileile iwe ni basi la Mchina (milioni 400) au Msweden (milioni 800).
Hapo mwenye basi la Msweden lazima awe amejitia kidole
Kama hujui kitu kaa kimnya .Yah ! ,Zuberi yeye ni Marco Polo Tu ,hanaga shobo na mchina ,sijajua kama alishawahi nunua mchina
Umesema vyemaAlafu mchina kwenywe umafuta , anatumia kidogo kushinda msweden
Kuna zuberi ya mwz-khm ni mchinaYah ! ,Zuberi yeye ni Marco Polo Tu ,hanaga shobo na mchina ,sijajua kama alishawahi nunua mchina
Na mwanza To Dar Zuberi anatumia mchinaKuna zuberi ya mwz-khm ni mchina
Alifanywa Nini na jiwe?Huyu mwamba Sauli kafirisika kwenye mabasi ila alichofanyiwa na jiwe sio poa
Acheni uongo wenu wa kipumbavu. Sauli biashara ya mabasi haijui na ameanza juzi tu. Toka lini ngoma ya watoto ikakesha!?Huyu mwamba Sauli kafirisika kwenye mabasi ila alichofanyiwa na jiwe sio poa
Hili gari kitambo sana walikuwa wameshachoka,ni vile walikuwa wanajikongoja bado.Sauli kaumaliza mwendo hatimaye
View attachment 2894495View attachment 2894497View attachment 2894498View attachment 2894499
Alidhani biashara ya mabus ni sawa na biashara ya miwa.Acheni uongo wenu wa kipumbavu. Sauli biashara ya mabasi haijui na ameanza juzi tu. Toka lini ngoma ya watoto ikakesha!?
Huu ni uongosauli AKA tege boy sasa ivii amefulia fine zimekuwa nyingi na ajali
Familia yake alienda kuigomboa ChamwinoAlifanywa Nini na jiwe?
Nyanda za juu kusini hakuna wa kushindana na taasisi NEW FORCEHili gari kitambo sana walikuwa wameshachoka,ni vile walikuwa wanajikongoja bado.
Nimeona Imani naye anajivuta mdogo mdogo amerudi mchezoni baada ya kukaa miezi kadhaa nje.
Matajiri wa Chunya wenye mabasi kama akina Sauli, Achimwene na Msigwa ni wafanyabiashara wakubwa wa madiniAlidhani biashara ya mabus ni sawa na biashara ya miwa.