bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,343
- 25,329
Unanunua sufulia kwa milioni zaidi ya mia Tano Kwa bus moja ndo uje ucompete na mchina kweli.
Ngoja tuone Imani naye kama ataweza kujikaza,ama atasalimu amri kama mwenzie Sauli.Nyanda za juu kusini hakuna wa kushindana na taasisi NEW FORCE
Si nasikia ana migodi, ayapeleke mgodini ayageuze hostel waishi watenda kazi wake maduaraniSauli kaumaliza mwendo hatimaye
View attachment 2894495View attachment 2894497View attachment 2894498View attachment 2894499
Kwanini?Familia yake alienda kuigomboa Chamwino
Moja ya wahanga ambao Jiwe alifungia akaunti zao za benki
Uzoefu wa madini usiulete barabarniMatajiri wa Chunya wenye mabasi kama akina Sauli, Achimwene na Msigwa ni wafanyabiashara wakubwa wa madini
Ngoja tumuone tajiri mtoto wa Chunya Achimwene na Msigwa wataiweza biashara ya mabasi kama walivyoweza ya madini?
Alifeli sana tena akachagua Scania Gemilang ambazo Dar Express kilichomfanya hana hamu nazo sasa hivi kaingia kwenye MchinaUnanunua sufulia kwa milioni zaidi ya mia Tano Kwa bus moja ndo uje ucompete na mchina kweli.
Jiwe anasingiZiwa tuKwanini?
Alikosa nini?
Imani nyanda za juu kusini bado sana bado mbabaishajiNgoja tuone Imani naye kama ataweza kujikaza,ama atasalimu amri kama mwenzie Sauli.
10 zinapanda 10 zinashuka kipindi cha high season 15 zinapanda 15 zinashukaNew force ana gari nyingi sana,kushindana naye ni ngumu.
Achimwene anazo 4 zote ni Zhong Tong kama NEW FORCENaona Achimwene naye ana moto balaa
Sijui anazo ngapi
Niliziona nyingi nyingi sana.
Nasikia aliuza mengine.Si nasikia ana migodi, ayapeleke mgodini ayageuze hostel waishi watenda kazi wake maduarani
Newforce n mkubwa10 zinapanda 10 zinashuka kipindi cha high season 15 zinapanda 15 zinashuka
Mchina akwepeki ukitaka kubakia kwenye gameAlifeli sana tena akachagua Scania Gemilang ambazo Dar Express kilichomfanya hana hamu nazo sasa hivi kaingia kwenye Mchina
Huyu mwamba wa ABC route ya Mbeya kaipania juzi kati kashusha vyuma 6, na tayari kashajenga terminal yake pale Mbeya.ABC anaweza akasurivive maana tayari yupo kwenye game kitambo,japo hakuwa route hii sumbufu.
Alizani biashara ya mabasi ni kama kuuza vipodoziAlidhani biashara ya mabus ni sawa na biashara ya miwa.
Shabiby alijaribu route ya Mbeya-Dar akatupa kitaulo mapema sana alifikiri abiria wa Mbeya kama wa DomShabiby sijui kwanini hataki kuingiza bus zake kwenye hii route.
OyaaSi nasikia ana migodi, ayapeleke mgodini ayageuze hostel waishi watenda kazi wake maduarani
Mambo ni mengi kwa groundKwanini?
Alikosa nini?
Hakuuza, zilichukuliwa na mkopeshaji, yaani Scania Vingunguti. Ni kumaanisha Ali default terms za mkataba.Kama yapo yamebaki , basi ni mawili.
Nasikia aliuza mengine.