Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Yeah anapiga kilimo cha kisasa billions of money kawekeza hapoSummry nasikia amejikita kwenye kilimo sumbawanga
Mwaka 2021 Humud Sumry alikufa
Yeah anapiga kilimo cha kisasa billions of money kawekeza hapoSummry nasikia amejikita kwenye kilimo sumbawanga
Noma sana 😅Summry alileta bus lake kule milimani kwetu Songwe Undali..
Lilipiga route wiki haikuisha,dereva akalilaza chini.
Hakurudisha gari tena hadi leo.
Yeah Shabiby, Abood, Amran bosi wa Ally's za Mwanza n.kAkina Shabiby
Wakachukue notes kwa Shabiby line
Jamaa yupo vizuri sana na mabasi yake ni standard miaka nenda miaka rudi.
Pale Dom asubuhi na jioni nikama ana kiwanda cha mabasi🙌
Ila maboss wanakwambia kwa ground pesa zao za motoSisi abiria tunashangilia tu ligi😂
ABC ahakikishe route ya Mbeya gari zitembee kwelikweliInabidi nipite stand jioni nikayashangae
Safari ABC atanisamehe, lazima nipande Achimwene lililo kwenye upepo 😂
Chuma inapepea kanunua Zhongtong Mega wanaziita umemeAchimwene lililo kwenye upepo
Abood na Shabiby huwa watu wa kujaribu sana, akiona route haieleweki wanachomoaShabiby akirudisha route ya Mbeya ntakuwa mteja wake wa kudumu ,kama alivyokuwa Mbeya Dom
Gari yake nzuri sana,na ina mwendo mzuri.
Hata mi sipandagi hizo newforce bora nitembee kwa miguu tu. ABC ndio basi zangu kwa sasa. Mwanzo nilikuwa napandaga SUTCO ila sasa napanda ABC.Gari zake nzuri sana
Ndiye chaguo langu kwa sasa.
Mwendo hapishani sana na Achimwene,anapaa ila siyo kama New force .
Gari inayokimbia kupita kiasi kama new force hapana kwa kweli
New force ndio gari pekee sijawahi kupanda.
Wafanyabiashara wanazipenda New ForceGari zake nzuri sana
Ndiye chaguo langu kwa sasa.
Mwendo hapishani sana na Achimwene,anapaa ila siyo kama New force .
Gari inayokimbia kupita kiasi kama new force hapana kwa kweli
New force ndio gari pekee sijawahi kupanda.
Hiyo niKuna moja kachukua TEMBO SAFARI
Zinadondoka hovyo kwa sababu zinakimbia mnoWafanyabiashara wanazipenda New Force
Hata mi sipandagi hizo newforce bora nitembee kwa miguu tu. ABC ndio basi zangu kwa sasa. Mwanzo nilikuwa napandaga SUTCO ila sasa napanda ABC.
Abood na Shabiby huwa watu wa kujaribu sana, akiona route haieleweki wanachomoa
Hekima kampuni yake kufa naye alichangia baada ya kuweka ndugu na jamaa kwenye usimamizi na yeye kutumia pesa vibaya.Hii biashara sio poa niliwahi kuwa na mazungumzo na bosi wa zilizokuwa basi za Hekima zilitamba sana miaka ya 2000 mwanzoni route ya Dar-Mbeya-Tunduma.
Akaniambia msione vyuma tu vinapita barabarani ila mjue wakurugenzi wa mabasi wote tuna sonona
Mara ya mwisho niliona kawekeza zaidi kwenye usafirishaji wa malori, mabasi alipiga chini
Kumbe Ally's ni muarabu pia?Yeah Shabiby, Abood, Amran bosi wa Ally's za Mwanza n.k
Mwendo wake ni mzuri wa wastaniABC ahakikishe route ya Mbeya gari zitembee kwelikweli
Ndenjela Jet hii ni moja ya basi bora njia ya Mbeya. Huyu mzee ni mtu wa magari haswa ili kwenye Route ya Dar Mbeya aliweka basi 2. Basi zake zilikuwa zina customer care safi sana.Na Ndenjela
Kwa sababu ziko nyingiZinadondoka hovyo kwa sababu zinakimbia mno
New force hata bure sipandi.
Wanaowahi shughuli zao acha wazipende tu,wengine hatuna cha kuwahi.