Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

Jina kubwa..ndani hakuna kitu.
Sasahivi baada ya hili kuungua na jingine kupigwa bei,nadhani limebaki moja

Mwenzie Achimwene anazidi kumwaga vyuma kama mchele.
Hahaha yani ndio uzuri wa sisi wateja tunasifia kinachotufurahisha kwa wakati huo, hata sauli ulikuwa unaisifia hivi hivi ila baada ya kuanza kupata ajali tu leo hii kawa "hakuna kitu", sitashangaa hata huyo achimwene naye siku akiangusha basi mbili tatu hizo sifa zote zitayeyuka time will tell
 
Toka mwanzo mm sijawahi kulikubali hilo gari
Nilivyopanda mwakajuzi ndo kabisa,walikuwa wameshaanza kupoteana..AC lao linapiga kelele ndani kama mashine ya kukoboa mahindi.

Achimwene wengi wanamsifu sijawahi kupanda hata
Nitajaribu..
Ila gari langu pendwa la uhakika ni ABC kwa sasa.

Hayo yote kuhusu sauli hukuwahi kuyaongea hapo kabla ndio nayasoma hapa leo kutoka kwako, nakumbuka ulishawahi isifia mara nyingi tu tena tuna kipindi ukawa unapost hadi picha zake kwenye nyuzi za selfie na road trip ukiisifia, anyway kama nilivyosema hiyo ni kawaida kwa wateja wengi hata mimi nitasifia ambacho kinasifika kwa wakati huo tunatambaa na beat tu ila kusema sauli alikuwa mbovu kipindi chake ni uwongo
 
Kweli niliwahi kulisifia siku tumempandisha Bimkubwa wakawahi kufika

Ila toka nipande mm kwa kweli lilikuwa limechoka
Na walivyoanza michezo ya kukatisha watu tiketi wakati wanajua bus halitakuwepp hapo ndio walinitibua kabisa.
Ila bado ana muda wa kurudi kwenye makali yake maana bado ana jina .
 
Kweli niliwahi kulisifia siku tumempandisha Bimkubwa wakawahi kufika

Ila toka nipande mm kwa kweli lilikuwa limechoka
Na walivyoanza michezo ya kukatisha watu tiketi wakati wanajua bus halitakuwepp hapo ndio walinitibua kabisa.
Yeah mara nyingi hawa wamiliki wa mabus wanaponzwa na wafanyakazi wao tu mfano sauli yeye, kwa upande wake alijitahidi kununua mabus mazuri toka ulaya na siyo ya mchina tena hadi wajuzi wa magari wakawa wanaanzisha nyuzi nyingi kumsifia sauli, kwamba ananunua mabasi ya mjerumani na siyo ya mchina ila shida wafanyakazi wake kuanzia madereva hadi wakatisha tiketi ndio wamemharibia
 
Sauli Kabaki na gari ngapi naona majuzi moja imevaana na newforce Kwa tanker la mafuta zikawaka moto zote.
 
Yeah mara nyingi hawa wamiliki wa mabus wanaponzwa na wafanyakazi wao tu mfano sauli yeye, kwa upande wake alijitahidi kununua mabus mazuri toka ulaya na siyo ya mchina tena hadi wajuzi wa magari wakawa wanaanzisha nyuzi nyingi kumsifia sauli, kwamba ananunua mabasi ya mjerumani na siyo ya mchina ila shida wafanyakazi wake kuanzia madereva hadi wakatisha tiketi ndio wamemharibia
Kuna wadau wanasema biashara ya magari ni biashara kichaa hapa sasa nawaamini.
Kila mtu anataka ale tu,,hadi kampuni inajifia hivihivi Mmiliki unapata magonjwa ya moyo hivihivi.
 
Back
Top Bottom