Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,930
- 236,534
Biashara ya mabus ni biashara kichaa sanaJiwe anasingiZiwa tu
Hakuna ambaye angetegemea Sauli na tambo zote na Ile kasi,siku moja gari zake zitafutika mapema hivi .
Hivi shida huwa ni nini jamani?
Kwani faida hawapati?
Au ndio ujanja mwingi wafanyakazi wanakula sana!