Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Afu udhalilishaji wenyewe mdogo sana. Mimi nilishawahi kurushwa dirishani kwenye bombardier ikiwa ishapaa angani. Na sijawahi kulalamika...Ngumu kumesa!!.Wakati udhalilishaji huu wote uliousema hapa ukitendewa,huyo mkeo alishindwa kuthibitisha kuwa wewe ni mumewe na unamletea hela?.