Kampuni ya basi la Shabiby, hii ni hatari sana kwa abiria wenu

Ngumu kumesa!!.Wakati udhalilishaji huu wote uliousema hapa ukitendewa,huyo mkeo alishindwa kuthibitisha kuwa wewe ni mumewe na unamletea hela?.
Afu udhalilishaji wenyewe mdogo sana. Mimi nilishawahi kurushwa dirishani kwenye bombardier ikiwa ishapaa angani. Na sijawahi kulalamika...
 
Itoshe tu kusema wewe ni mshamba mkuu, kila sehemu ina utaratibu wake unatakiwa kuufuata sio unaleta wako tena ushukuru wamekuhurumia sana nenda kawape pongezi kwa kukusaidia
 
Dah wazee mlivyopiga spana mtoa mada mwanangu pole sana, inawezekana dereva na huyo konda labda walifanyaga uzembe vitu vikaibwa ndo maana wakawa wakali.. usisuse chief
 
Nimekuwa mpenzi wa kutumia usafiri wa basi la Shabiby mimi na familia yangu kwa miaka zaidi ya mitano

Dar, Dodoma, Dodoma Arusha.

Ila leo kwa yaliyo nikuta kupitia dereva huyu, imeniuma sana

Tulikata tiketi siti namba 4 kwa ajili ya mke wangu kusafiri toka Arusha kuelekea Dodoma ni katika basi linalo wasili Arusha saa nne asubuhi ili kuelekea Dodoma.

Katika pilikapilika za safari nikajikuta nimesahau kadi yangu ya benki ambayo nilidhamiria kuitumia kutoa pesa ili kumpa mke wangu pesa ya matumizi njiani na hii ndio ikawa sababu kwa mimi kukutana na maumivu niliyoyapata kwa dereva nisiye mfahamu jina lake ila ndiye dereva wa basi tulilo kata tiketi hii,yaani basi la Shabiby.

Kutokana na kusahau kadi ya benki nililazimika kumuacha ndani ya gari mke wangu ambaye nilikuwa nikimsindikiza kutafuta namna nyingine ya kupata pesa ili nimpe ya kula njiani,

Baada ya kufanikiwa nikarejea ndani ya gari, kwa lengo la kumpa hiyo pesa mke wangu,ndipo dereva huyu wa shabiby baada ya kuona kuwa mkononi mwangu nimeshika speaker ndogo ambayo huwa naitumia kwa ujasiliamali ,yeye akahisi labda naingia kuuza bidhaa fulani

Hata hivyo kwa upole nilimweleza kuwa, mimi siingi kuuza ila lengo langu ni kumpa mke wangu pesa ya matumizi njiani.

Kilicho niumiza, bado aliendelea kuni zuia kibabe

Hakuishia hapo tu alinikunja huku kondakta wake akinivuta mguu kwa nje,mbele za mke wangu,abiria na watu wengine,kiukweli nimedhslilishwa,naamini kosa langu ni kuutumia usafiri wa shabiby kumsafirisha mke wangu,halafu kuamua kumletea pesa ya matumizi mke wangu.

Kweli nimejaribu kumwelezea mtu niliye fahamishwa kuwa ni kiongozi wake hata sijaridhishwa na namna alivyoshughulikia kudhalilishwa kwangu,kiukweli nimeamua,maana mimi huwa hakuna aina ya biashara mbayo huwa naifanya ndani ya mabasi,zaidi ya leo kumsindikiza mke wangu.

Kweli,kama kampuni ya mabasi ya shabiby haita muwajibisha huyu,aliye nikunja hata kunitishia kunipiga,kisa,nimemweleza kuwa nampa mke wangu pesa ya matumizi njiani, basi kwa mimi binafsi na familia yangu nitafikiria kuto penda kuutukimia usafiri huu kwa mara nyingine,maana nimeaibishwa sana.

Nimejaribu kutafuta mawasiliano ya kampuni ya basi la shabiby makao makuu ili kutoa taarifa ya kero hii, ila sijatambua namna ya kuwapata,ndio maana nimeandika hapa ili wahusika wapatapo ujumbe angalau walishughulikie hili kama wana upendo na wateja wao,tafadhali wasilifumbie macho

Muda huu basi hilo bado lipo njiani kuelekea dodoma, mke wangu niliye msafirisha anaitwa Silvero Mwacha ,yupo sit namba 4, tafadhali wahusika popote mlipo nimekereka, naomba msilifumbie macho hili.

Ni mimi Emmamuel.
Pole, hàpa nisichokielewa ni kwanini mkeo hakukutetea ukizingatia siti namba nne iko karibu na mlango!
 
Emannuel Jasiri mbona uko hivyo! Ndugai unaye badala ya kumtumia kumuita mkeo aje mlangoni kuchukua pa-diemu na mambo yakaisha unakuja JF ambayo mpaka mtu aweke bando ndiyo akusikie! Hebu Mjasiriamali Jasiri jaribu kuwa mkweli tu. Basi siyo soko ambamo kila mtu anaingia hasa nyie wauza dawa za mapunya na fangasi. Huyo dereva na kondakita wanakufahamu kwa sababu kila siku wanakuona hapo stendi na Ndugai wako.
Ndugai na Shabbiby wote dugu moja wapo bungeni hivyo mnajuana, acha hiyo.
 
Inashangaza Sana hata muendesha baiskeli anamnyanyasa mtembea kwa miguu, muendesha pikpik anamyanyasa muendesha baiskel na mtembea kwa miguu, muendesha gari ndogo anamnyanyasa muendesha pikpik,baiskel na mtembea kwa miguu, muendesha gari kubwa anamnyanyasa muendesha gar ndogo.
Binadam wengi wasio na utu pindi wanapopata nafas sehemu huwa wanawanyanyasa watu ambao hawana nafasi, haya yote hayataisha Hadi pale binadam watakapobadilika na kuwapendelea watu Yale wanayo yapenda katika nafsi zao
 
Nikupe pole, ila kwa maelezo yko nahisi kunakitu unakificha. Kwanini.

1. Kama wangekuona kabla ukimsindikiza mkeo sidhani kama wangekukatalia kuingia.

2. Baada yakukataliwa kuingia bado ulikuwa na nafasi yakumuita dirishani na mambo yakaenda bara bara.

3. Wakati wavurugu bado mkeo alikuwa na nafasi ya kutoka nakuja kuchukua hiyo posho kuepuka dhahama hiyo.

Kifupi kosa ni lakwako.
Umemaliza mkuu umesema niliyokuwa nayafikiria kuna kitu hakipo sawa hapa.
 
Kwani hiyo spika ilikuwa kubwa kiasi gani? Kama ilikuwa kubwa sana lazima ingewafanya huyo dereva kufikiri vinginevyo.
Pole hata hivyo! Nikuombe tu samehe hayo yamepita.
Harafu ungemrushia mkeo hiyo pesa kwa njia ya mtandao wa simu harafu angeitolea mbele ya safari,after theni kutoka Arusha mpaka Dom ni masaaa machache angeweza kuvumilia.
 
Nikupe pole, ila kwa maelezo yko nahisi kunakitu unakificha. Kwanini.

1. Kama wangekuona kabla ukimsindikiza mkeo sidhani kama wangekukatalia kuingia.

2. Baada yakukataliwa kuingia bado ulikuwa na nafasi yakumuita dirishani na mambo yakaenda bara bara.

3. Wakati wavurugu bado mkeo alikuwa na nafasi ya kutoka nakuja kuchukua hiyo posho kuepuka dhahama hiyo.

Kifupi kosa ni lakwako.
Kwa kampuni ya kistaarabu kama shabiby hawakustahili kufanya hivyo
 
Baadhi ya wafanyakazi wa shabiby Wana dharau mnoo..

Nilisafiri na shabiby Dar -Dom siku za hivi karibuni nikiwa na mtoto wangu wa miaka 3 nikakata seat 2 Mimi yangu na yeye ya kwake. Moja ya zile seat kwa mbele kulikua kuchafu Kama matapishi yaliyokauka kuanzia juu mpaka pale kwenye sehemu ya kuweka chupa za maji/soda.
Nikamwita yule mdada hakuja! Tulipofika Moro tukashuka kwa ajili ya chakula nikamtafuta nikamwambia shida iliyopo akaninyali na kunijibu sijui hata kitu gani, ile seat haikufutwa mpaka tunafika Dom. Njia nzima nilikua na kazi ya kumzuia mwanangu asiguse pale mahali. ALINIKWAZA MNOOO.

Tukarudi na kimbinyiko.
 
Panda Bm
 
Wewe ndo mwemye makosa , kwanza unaingia kwenye gari na vifaa vyako vya kazi , pili ulipaswa kumsikiliza dreva anasema nini ili ufate maagizo kabla ujavutwa mguu na hyo kondakita .

Fata utaratibu maana inawezeka mda wa kuondoka ulikuwa umewadia kwaiyo walikuwa wanaanza safari kwaiyo wasingeruhusu uingie.
Arusha kuna wezi huwezi acha kitu nje ni hatari

Hata hivyo nashukuru ofisi ya shabibu wameshughulikia hili tatizo

Maana ni abiria wao
Pole, ila kulikuwa kuna ulazima gani kupanda na hiyo speaker?
Au kuingia ndani ya basi?
Stand kuna wezi wengi ,huwezi acha kitu hovyo

Na nilikuwa naingia na kutoka sio zaidi,

Ila hizi ni changamoto tu

Ni abiria wao wa Mara KWA Mara

Tatizo ni dereva

KWA hiyo yote sawa

MUNGU YUPO
 
Tatizo sio ofisi ya Shabiby,Nina mlenga dereva

Mimi nine eleza kilicho nikera

Wengine wamenifariji pia wengine wamenidharirisha mtandaoni japo hawanijui mimi ni nani

Dunia ni mzunguko

Usimdharau usiye mjua

Wala usiongee KWA hisia

Kitajulikana
 
Uliongea vizuri sana.Hii ya wewe ni nani imenishangaza sana!!! Utabaki kuwa binadamu ulizaliwa na utakufa,Mungu ndie mkubwausijikweze kama Balshza,kila ajikwezae atshushwa nae ajishushae atakwezwa.
 
Bila shaka,wewe ni mchawi,wachawi ndio wanajhivi

Pole sana

Jizi mwenyewe, pumbavu,mwenda wazimu usiye jitambua

Kama huna cha kujibu acha kujipendekeza

Mshenzi
Nimeficha nini

So laIma ujibu kila post

Kama huna cha kusema nyamaza

Suniani tumetofautiana

Kama huamini endelea
 
Back
Top Bottom