Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,120
- 49,495
Yeye unamwona yupo serious?Hata uzi kama huu unafanya masihara mkuu?

Hawa wanawake wakichaga hawana huruma yaani anakuangalia unakunjwa ametulia tu kichwani anawaza hiyo pesa yako uliyoishikiliaNimekuwa mpenzi wa kutumia usafiri wa basi la Shabiby mimi na familia yangu kwa miaka zaidi ya mitano
Dar, Dodoma, Dodoma Arusha.
Ila leo kwa yaliyo nikuta kupitia dereva huyu, imeniuma sana
Tulikata tiketi siti namba 4 kwa ajili ya mke wangu kusafiri toka Arusha kuelekea Dodoma ni katika basi linalo wasili Arusha saa nne asubuhi ili kuelekea Dodoma.
Katika pilikapilika za safari nikajikuta nimesahau kadi yangu ya benki ambayo nilidhamiria kuitumia kutoa pesa ili kumpa mke wangu pesa ya matumizi njiani na hii ndio ikawa sababu kwa mimi kukutana na maumivu niliyoyapata kwa dereva nisiye mfahamu jina lake ila ndiye dereva wa basi tulilo kata tiketi hii,yaani basi la Shabiby.
Kutokana na kusahau kadi ya benki nililazimika kumuacha ndani ya gari mke wangu ambaye nilikuwa nikimsindikiza kutafuta namna nyingine ya kupata pesa ili nimpe ya kula njiani,
Baada ya kufanikiwa nikarejea ndani ya gari, kwa lengo la kumpa hiyo pesa mke wangu,ndipo dereva huyu wa shabiby baada ya kuona kuwa mkononi mwangu nimeshika speaker ndogo ambayo huwa naitumia kwa ujasiliamali ,yeye akahisi labda naingia kuuza bidhaa fulani
Hata hivyo kwa upole nilimweleza kuwa, mimi siingi kuuza ila lengo langu ni kumpa mke wangu pesa ya matumizi njiani.
Kilicho niumiza, bado aliendelea kuni zuia kibabe
Hakuishia hapo tu alinikunja huku kondakta wake akinivuta mguu kwa nje,mbele za mke wangu,abiria na watu wengine,kiukweli nimedhslilishwa,naamini kosa langu ni kuutumia usafiri wa shabiby kumsafirisha mke wangu,halafu kuamua kumletea pesa ya matumizi mke wangu.
Kweli nimejaribu kumwelezea mtu niliye fahamishwa kuwa ni kiongozi wake hata sijaridhishwa na namna alivyoshughulikia kudhalilishwa kwangu,kiukweli nimeamua,maana mimi huwa hakuna aina ya biashara mbayo huwa naifanya ndani ya mabasi,zaidi ya leo kumsindikiza mke wangu.
Kweli,kama kampuni ya mabasi ya shabiby haita muwajibisha huyu,aliye nikunja hata kunitishia kunipiga,kisa,nimemweleza kuwa nampa mke wangu pesa ya matumizi njiani, basi kwa mimi binafsi na familia yangu nitafikiria kuto penda kuutukimia usafiri huu kwa mara nyingine,maana nimeaibishwa sana.
Nimejaribu kutafuta mawasiliano ya kampuni ya basi la shabiby makao makuu ili kutoa taarifa ya kero hii, ila sijatambua namna ya kuwapata,ndio maana nimeandika hapa ili wahusika wapatapo ujumbe angalau walishughulikie hili kama wana upendo na wateja wao,tafadhali wasilifumbie macho
Muda huu basi hilo bado lipo njiani kuelekea dodoma, mke wangu niliye msafirisha anaitwa Silvero Mwacha ,yupo sit namba 4, tafadhali wahusika popote mlipo nimekereka, naomba msilifumbie macho hili.
Ni mimi Emmamuel.
Ndani ya basi wanatakiwa kuingia abiria tu waliokata tiketi na wafanyakazi wa basi tu sio mtu mwingine
Waliokukunja na kukuvuta miguu wamekuhurumia walitakiwa wakutandike mangumi na makofi juu
Ungempigia simu mkeo ashuke achukue hivyo vipesa vyako koko chini sio wewe upande basi
Ukome kabisa tabia hiyo ya kupanda ndani ya basi wakati wewe sio abiria
Nyie mnaomtetea Shabiby ni washenzi kama yeye, uyo mtu ana kauli mbovu sana tu, sishangai wafanyakazi wake kuwa na jeuri, wanaiga tabia ya boss wao.Ubora wa abiria km wewe ndo unazidi kushuka ila cyo shabibi.
Usiwe na zereu mkuu.Ndani ya basi wanatakiwa kuingia abiria tu waliokata tiketi na wafanyakazi wa basi tu sio mtu mwingine
Waliokukunja na kukuvuta miguu wamekuhurumia walitakiwa wakutandike mangumi na makofi juu
Ungempigia simu mkeo ashuke achukue hivyo vipesa vyako koko chini sio wewe upande basi
Ukome kabisa tabia hiyo ya kupanda ndani ya basi wakati wewe sio abiria
Me too!
mleta mada hajielewi anadhani basi ni kama gulio unajiingilia tu na kutoka ukitaka wakati sio abiriaYaani kwenye basi waruhusiwe kuingia sio wasafiri si itakuwa vurugu, kwanza ulitakiwa kuishia getini labda tu sababu stand zingine hazina uzio na mageti.
Ina maana ingkuwa anakwenda kwa ndege ungemfuata ndani ya ndege umpe pesa!
Mkuu kwa hiyo ulishindwa hata kumwambia konda niitie huyo Dada aliyekaa kwenye siti namba NNE , ni mke wangu wambie aje nimuageNimekuwa mpenzi wa kutumia usafiri wa basi la Shabiby mimi na familia yangu kwa miaka zaidi ya mitano
Dar, Dodoma, Dodoma Arusha.
Ila leo kwa yaliyo nikuta kupitia dereva huyu, imeniuma sana
Tulikata tiketi siti namba 4 kwa ajili ya mke wangu kusafiri toka Arusha kuelekea Dodoma ni katika basi linalo wasili Arusha saa nne asubuhi ili kuelekea Dodoma.
Katika pilikapilika za safari nikajikuta nimesahau kadi yangu ya benki ambayo nilidhamiria kuitumia kutoa pesa ili kumpa mke wangu pesa ya matumizi njiani na hii ndio ikawa sababu kwa mimi kukutana na maumivu niliyoyapata kwa dereva nisiye mfahamu jina lake ila ndiye dereva wa basi tulilo kata tiketi hii,yaani basi la Shabiby.
Kutokana na kusahau kadi ya benki nililazimika kumuacha ndani ya gari mke wangu ambaye nilikuwa nikimsindikiza kutafuta namna nyingine ya kupata pesa ili nimpe ya kula njiani,
Baada ya kufanikiwa nikarejea ndani ya gari, kwa lengo la kumpa hiyo pesa mke wangu,ndipo dereva huyu wa shabiby baada ya kuona kuwa mkononi mwangu nimeshika speaker ndogo ambayo huwa naitumia kwa ujasiliamali ,yeye akahisi labda naingia kuuza bidhaa fulani
Hata hivyo kwa upole nilimweleza kuwa, mimi siingi kuuza ila lengo langu ni kumpa mke wangu pesa ya matumizi njiani.
Kilicho niumiza, bado aliendelea kuni zuia kibabe
Hakuishia hapo tu alinikunja huku kondakta wake akinivuta mguu kwa nje,mbele za mke wangu,abiria na watu wengine,kiukweli nimedhslilishwa,naamini kosa langu ni kuutumia usafiri wa shabiby kumsafirisha mke wangu,halafu kuamua kumletea pesa ya matumizi mke wangu.
Kweli nimejaribu kumwelezea mtu niliye fahamishwa kuwa ni kiongozi wake hata sijaridhishwa na namna alivyoshughulikia kudhalilishwa kwangu,kiukweli nimeamua,maana mimi huwa hakuna aina ya biashara mbayo huwa naifanya ndani ya mabasi,zaidi ya leo kumsindikiza mke wangu.
Kweli,kama kampuni ya mabasi ya shabiby haita muwajibisha huyu,aliye nikunja hata kunitishia kunipiga,kisa,nimemweleza kuwa nampa mke wangu pesa ya matumizi njiani, basi kwa mimi binafsi na familia yangu nitafikiria kuto penda kuutukimia usafiri huu kwa mara nyingine,maana nimeaibishwa sana.
Nimejaribu kutafuta mawasiliano ya kampuni ya basi la shabiby makao makuu ili kutoa taarifa ya kero hii, ila sijatambua namna ya kuwapata,ndio maana nimeandika hapa ili wahusika wapatapo ujumbe angalau walishughulikie hili kama wana upendo na wateja wao,tafadhali wasilifumbie macho
Muda huu basi hilo bado lipo njiani kuelekea dodoma, mke wangu niliye msafirisha anaitwa Silvero Mwacha ,yupo sit namba 4, tafadhali wahusika popote mlipo nimekereka, naomba msilifumbie macho hili.
Ni mimi Emmamuel.
Customer care huijui wewe unashughulika na Customer sio mtu asiye customerhuwezi kusikilizwa malalamiko yako zaidi watakuona mjinga, suala la customer care kwenye usafili hapa nchini ni kwenye ndege tu, uko kwingine ni vurugu, wanafanya kazi kama wamelazimishwa ndio maana ajali nyingi nchi hii ni za uzembe tu, aidha wa dereva au mmiliki wa gari kutofanya matengenezo ya mara kwa mara.
Mke wa dereva punguza povu.Ndani ya basi wanatakiwa kuingia abiria tu waliokata tiketi na wafanyakazi wa basi tu sio mtu mwingine
Waliokukunja na kukuvuta miguu wamekuhurumia walitakiwa wakutandike mangumi na makofi juu
Ungempigia simu mkeo ashuke achukue hivyo vipesa vyako koko chini sio wewe upande basi
Ukome kabisa tabia hiyo ya kupanda ndani ya basi wakati wewe sio abiria
Ndio maana mama alitulia tuli wakati mumewe anadundwa yawezekana alishapata wa kumtuliza siti ya karibu akamwambia utakula utakunywa usiwe na hofuJamaa wamekudunda halafu mbeleni wanachukua namba ya mkeo. Na vile Hana hela wanamnunulia misosi na bia na nyama choma utafurahi.
dawa ya kunguni, muwasho, vipele na hararaSpeaker ya nini mzee
Usisingizie huyo mwanamke jamaa hajielewi na yeye ndo mkorofi Hadi akavutwaHawa wanawake wakichaga hawana huruma yaani anakuangalia unakunjwa ametulia tu kichwani anawaza hiyo pesa yako uliyoishikilia