Voda ni kama maji! Usipoyanywa utaoga!
Watanzania wa natumia mitandao kulingania na huduma zao, kwa akili yako unafikiri kuna watanzania wangapi wataacha voda sababu ya huu ujinga wenu wa siasa? Yani eti kwa vile Membe au Nape kadukuliwa basi sitymii voda?
Uijinga mtupu. Hata mnaocoment hapa hakuna hata aliye acha hiyo laini
Watu wasiofikiria ndio wanakua na double standards kama wewe!
Eti watu wawili tu ndio wamedukuliwa basi isiwe taabu sababu ni wawili tu!
Hebu tuambie kwa utashi wako ulitaka idadi ya watu wangapi?Mia moja,elfu moja?Umetumia kigezo gani to arrive to that imaginary number?
Ni watu,na wamedukuliwa na bado hao wengine ambao hawajaripoti ni watu pia!
Eti Voda ni maji!
Kwavile ni maji ndio ishirikiane kufanya ukatili?Tuna options za mitandao chungu nzima!
Na currently Tigo is overtaking Vodacom,go check the figures!
Na kingine tushajenga chuki na brand,hiyo ni hatua!
Vodacom did a very depressing act of blocking innocent journalists numbers just because serikali said so!
Such an evil company!
Halafu mtu mzima mwenye akili timamu unakaa mbele ya jamii unatetea jitu lionevu kama serikali na jitu evil kama Vodacom walichofanya kwa mwandishi habari aliekua anatimiza wajibu wake kitaaluma?
Badala ya kutetea mnyonge,you dont see that,unatetea lucifer and his assitant Vodacom,hivi wewe ni mtu wa aina gani?